Je mahakama ya mwanzo wanaruhusiwa ku-certify vyeti

Ndio wanaruhusiwa otherwise wawe wamekatazwa juzi,ila mimi nimecertify sana vyeti na mahakama za mwanzo

ploudly ngosha [emoji243][emoji243][emoji243]
 
Makamishna wa viapo kuanzia hakimu wa mahakama ya mwanzo, mawakili wanaweza kucertify cheti kuwa ni copy of the original after verifying, kucertify mahakamani ni bure ila kwa wanasheria binafsi nafikiri wanacharge
 
Yah, wana charge, hata mimi nisha chargiwa na wakili mahakamani kwa kunigongea mhuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mahakimu wakicertify vyeti na kukatokea kesi mtawaita wawe shahidi?
je
 
Makamishna wa viapo kuanzia hakimu wa mahakama ya mwanzo, mawakili wanaweza kucertify cheti kuwa ni copy of the original after verifying, kucertify mahakamani ni bure ila kwa wanasheria binafsi nafikiri wanacharge
Mie walinilamba 5,000 bila risiti nikakausha kuondoa usumbufu.
 
Back
Top Bottom