Je mahali ulipo unapata huduma za simu kama onavoatahili?

Je mahali ulipo unapata huduma za simu kama onavoatahili?

Hypersonic

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2012
Posts
829
Reaction score
1,564
Kwa takribani wiki nzima sasa mawasiliano ya mtandao wa Vodacom ni mabovu kupindukia. Kila simu unayotaka kupiga lazima ujaribu mara mbili au tatu ndo simu inaunganishwa.
 
Tuendelee kuwapa mda,.

Walinikera Mpesa nlikua namtumia mtu hela mwanzo waliniambia “transaction declined”
Nikarudia tena niliyemtumia anasema imefika mara moja halafu kwenye account yangu salio hamna means nimetuma mara2,.
Nasubiri nione ndani ya hayo masaa72 waliyosema
 
Kwa takribani wiki nzima sasa mawasiliano ya mtandao wa Vodacom ni mabovu kupindukia. Kila simu unayotaka kupiga lazima ujaribu mara mbili au tatu ndo simu inaunganishwa.
Maeneo mengi yanasumbua.
Hapa kwangu kuna mnara jirani umejengwa wa airtel.

Tangu uanze kufanya kazi huo mnara mawasiliano ya mitandao yote imevurugika.
Sijui kuna uhusiano gani wa hizo minara mmoja kuathiri mawasiliano ya mtandao mwingine.

Nikachua hiyo airtel nikidhani itanifaa kwa kuwa mnara upo jirani, hakuna kitu.
 
Back
Top Bottom