Je, mahusiano mafupi zaidi kwako yalikuwa ya muda gani?

2 days after kuombwa hela,nikaona huyu pimbi mahusiano yana siku mbili tu kaanza kuomba omba pesa nikapita hivi na mia
 
baada ya kuanza kuzitafuta azuma wiki mbili hivi, nilipita kushoto nyau yule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…