Je, mahusiano mafupi zaidi kwako yalikuwa ya muda gani?

Je, mahusiano mafupi zaidi kwako yalikuwa ya muda gani?

Dah umenikumbusha mbali kidogo japo ni huu mwaka, kuna demu alinikubalia jioni nikakaa nae usiku nikafanya kitu kibaya kwake ( kiukweli natamani Nimuone nimuombe msamaha) ndio iakwa mwisho wa uhusiano ilichukua kama masaa mannne tu, hadi Leo ameniblock na Miki nikafuta namba
 
Yalidumu masaa, nilimkubali mtu c kaenda kumwambia kaka angu, yaani nikageuza kibao
Hahahahah mbaya sana hiyo mkuu kwani we ni wakike au wakiume!! Inakuje mtu anasema kwa br
 
Back
Top Bottom