Dah umenikumbusha mbali kidogo japo ni huu mwaka, kuna demu alinikubalia jioni nikakaa nae usiku nikafanya kitu kibaya kwake ( kiukweli natamani Nimuone nimuombe msamaha) ndio iakwa mwisho wa uhusiano ilichukua kama masaa mannne tu, hadi Leo ameniblock na Miki nikafuta namba