Ni ujinga na upuuzi. Wanaona sifa. hawa ilikuwa ni kuwalazimisha kubadilika kwa nguvu, faida wataiona huko mbeleHivi karibuni kumezuka trend ya waandishi na youtuber duniani kote kwenda maeneo ya wahadzabe na kuwashangaa na kuwachukua video kuonesha maisha yao ikiwemo
Ulaji wa nyani,uzamani wao , lugha yao isiyotamkika wala kuandikika na vingine vingi ambavyo kwa dunia ya leo ni aibu au ni kushangaa!
Pia kumeibuka video youtube youtuber wakitania tanzania kua sisi bado tunaishi maisha ya nyani au ya wanyama kwa uzamani
Swali langu:
Je ni kitu cha kujivunia au ni Kitu cha aibu?
Alafu wakishabadilika we utanufaika na nini?Ni ujinga na upuuzi. Wanaona sifa. hawa ilikuwa ni kuwalazimisha kubadilika kwa nguvu, faida wataiona huko mbele
nakublock maana sina la kujifunza toka kwakoAlafu wakishabadilika we utanufaika na nini?
Waache waishi maisha yao. Unataka waanze kuimba "No reform No election" ambayo imeshafeli kama mfanyavyo? ππ
Acha ujuaji na kuingilia maisha ya watu wengine.
Fact fact factKwamba maisha yao, aibu unaona wewe ? Nadhani cha muhimu ni kutokuogopa watu wanakuonaje au kukufikiliaje; hapo utaishi maisha bora.., ila tukija kwenye maisha ya hawa cha kujiuliza je wanaishi maisha sustainable ? Au wewe unawaona wajinga na wachafu wakati wewe unayejisaidia na uchafu wako kwenda ziwani ili baada ya muda unaunywa (shit where you eat); Sewage yako ni non existent.., au wale wanaoishi kwa kuvuta hewa ya carbondioxide kutokana na traffic kuchafua mazingira hence magonjwa yasiyoisha...
To each their Own...
Hivi karibuni kumezuka trend ya waandishi na youtuber duniani kote kwenda maeneo ya wahadzabe na kuwashangaa na kuwachukua video kuonesha maisha yao ikiwemo
Ulaji wa nyani,uzamani wao , lugha yao isiyotamkika wala kuandikika na vingine vingi ambavyo kwa dunia ya leo ni aibu au ni kushangaa!
View attachment 3455013
Pia kumeibuka video youtube youtuber wakitania tanzania kua sisi bado tunaishi maisha ya nyani au ya wanyama kwa uzamani
Swali langu:
Je ni kitu cha kujivunia au ni Kitu cha aibu?
Acha ujinga basi. Hao watu wanaishi kwenye utamaduni wao. Waache unaweza ukajikuta ww ndio mshambaNi ujinga na upuuzi. Wanaona sifa. hawa ilikuwa ni kuwalazimisha kubadilika kwa nguvu, faida wataiona huko mbele
Wewe ni pumbafu.Alafu wakishabadilika we utanufaika na nini?
Waache waishi maisha yao. Unataka waanze kuimba "No reform No election" ambayo imeshafeli kama mfanyavyo? ππ
Acha ujuaji na kuingilia maisha ya watu wengine.
Wameshawahi kukuomba kuwa wanataka wainuliwe? Kuinuliwa ni kufanyaje?Wewe ni pumbafu.
Kuna jamii nyingi, serikali ilifanya makusudi kuwainua. Kwanini wasiwe Wahdzabe ?!
Miaka ya 70 kwa makusudi serikali iliwainua ki elimu, kimaisha na hata kiuchumi wamasai, wazanzibari na jamii zote za kifugaji, Kwanini kusiwe na makusudi ile ile kwa wahdzabe.