Tuusahau ushetani wa CCM kidogo katika suala hili...
Mjomba kuna thread ya utekelezaji wa ilani ya CCM nitaileta...hapo utapata habari ya viwanda ...usidilute madaHabari za kuweka idadi ya viwanda imekushinda, saa hii unachomekea vijihadithi vya kipumbavu ili kuvuta muda. Tanzania ina kipi cha kufuatiliwa na wazungu?
Tuatokaje huko sasa..kama hatutafakari haya kwa kina??
Mjomba kuna thread ya utekelezaji wa ilani ya CCM nitaileta...hapo utapata habari ya viwanda ...usidilute mada
Mkuu umeona nini hadi ukaanzisha huu uzi?Mjomba kuna thread ya utekelezaji wa ilani ya CCM nitaileta...hapo utapata habari ya viwanda ...usidilute mada
Usiwe na wasiwasi ndugu. Awamu ya tano chini ya Rais John Joseph Pombe Magufuli itatutoa huko! Soon tutaacha kuwategemea mabeberu.Tuatokaje huko sasa..kama hatutafakari haya kwa kina??
Haya ni mambo fikirishi kutokana na experience yangu ya kuona mambo mbalimbali.
Je kama watanzania tumejiandaa vipi kukabiliana na uwezekano wa hali hii?
Ieleweke kuwa Afya ni eneo nyeti katika mustakabali wa nchi na wananchi.
Aidha ni muhimu kujua kuwa vita baridi vinaweza kutumia mbinu mbalimbali ikiwemo mipango mikakati na ya muda mrefu katika kudhoofisha afya au kuhadaa umma hivyo afya ni tool muhimu ya vita.
Nisiwachoshe sana bali ni muhimu kama jamii tufikiri kwa kina aina za vita au hujuma zinazoweza kutumika kupitia sekta ya afya.
Umakini mkubwa unahitajika katika usimamizi wa Sekta hii.
NGOs nyingi nchini zinaingia kwa gear hii je zinafuatiliwa kwa jicho la afya na jicho la usalama??
TUTAFAKARI!MWENYE KUELEWA ANANIELEWA !
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Jingalao
ARV unapewa bure.
Condom unapewa bure.
Zaidi ya 50% ya budget wanakupa wao.
Zaidi ya 50% ya viongozi wako wamesoma kwao.
Gari unalotembelea wametengeneza wao.
100% ya zana za kijeshi wametengeneza wao na nyingine wamekupa msaada.
Madini unayochimba wao ndio wanunuzi.
Dini mnazoabudu wao ndio walileta.
Internet mnayotumia ni wao wagunduzi.
Laptop zenu zote mnazotumia ni wao.
Simu za mkononi hizo iphone ni zao..
OS kwenye mifumo yenu ni zao..
Wao wana drones huna uwezo wa kuziona.
Kule angani wameweka satelite na wanaona kila kitu..
Mimi nafikiri tuendelee tu kula ugali tuache kelele..
Huo sio mzizi wa tatizo, halafu ingependeza kama unge share mambo mawili matatu hivi ili kuupa mashiko huu uzi. Uko too general..content ipo ila hakuna details za ku trail au ku reflect na contents.nimeona Mengi mkuu...nimepata uzoefu wa mengi mkuu
Great thinker endelea kutafuta Ukweli utaupataHuo sio mzizi wa tatizo, halafu ingependeza kama unge share mambo mawili matatu hivi ili kuupa mashiko huu uzi. Uko too general..content ipo ila hakuna details za ku trail au ku reflect na contents.
Kwa sababu umeruka kitu kimoja cha msingi. Elimu! Huko ndio wanatupiga kuanzia kutuwekea mitaala ya kurahisisha yao..na kututoa nje ya mazingira yetu. Ambapo elimu ingekuwa bora hata hiyo misaada ya afya na chanjo ingefanyika home hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app