Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Umeshawahi kujiuliza mishahara mikubwa na posho ya kina Gema Akilimali, Hellen Kijo Bisimba, Harold Sungusia na NGO zao inalipwa na nani na walipaji unadhani ni wajomba zetu?Sasa hao majasusi kwenye nchi maskini kama hii wanachunguza nini?
Mimba za utotoni?
Mauaji ya albino?
Uchawi wa Gamboshi?
ACHENI MAJUNGU HAO WENZETU WAPO MBALI TAYARI LAZIMA TUSHIRIKIANE NAO, HATA HUYO BOSI WENU ANAEWAOGOPA HAO WAZUNGU SIKU AKIUMWA TU MNAMKIMBIZA WAKAMTIBU.
NYERERE, MUGABE NA VIBULI VYAO VYOOTE WALIFIA KWENYE HOSPITALI ZA WAZUNGU.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jingalao
ARV unapewa bure.
Condom unapewa bure.
Zaidi ya 50% ya budget wanakupa wao.
Zaidi ya 50% ya viongozi wako wamesoma kwao.
Gari unalotembelea wametengeneza wao.
100% ya zana za kijeshi wametengeneza wao na nyingine wamekupa msaada.
Madini unayochimba wao ndio wanunuzi.
Dini mnazoabudu wao ndio walileta.
Internet mnayotumia ni wao wagunduzi.
Laptop zenu zote mnazotumia ni wao.
Simu za mkononi hizo iphone ni zao..
OS kwenye mifumo yenu ni zao..
Wao wana drones huna uwezo wa kuziona.
Kule angani wameweka satelite na wanaona kila kitu..
Mimi nafikiri tuendelee tu kula ugali tuache kelele..
nimeona Mengi mkuu...nimepata uzoefu wa mengi mkuu
U
Umeshawahi kujiuliza mishahara mikubwa na posho ya kina Gema Akilimali, Hellen Kijo Bisimba, Harold Sungusia na NGO zao inalipwa na nani na walipaji unadhani ni wajomba zetu?
Shida yako wewe ni mshahara mkubwa?U
Umeshawahi kujiuliza mishahara mikubwa na posho ya kina Gema Akilimali, Hellen Kijo Bisimba, Harold Sungusia na NGO zao inalipwa na nani na walipaji unadhani ni wajomba zetu?