Je, majasusi kutoka ughaibuni wanatumia NGOs za Afya kuja kupeleleza nchi za kiafrika?

Je, majasusi kutoka ughaibuni wanatumia NGOs za Afya kuja kupeleleza nchi za kiafrika?

U
Sasa hao majasusi kwenye nchi maskini kama hii wanachunguza nini?
Mimba za utotoni?
Mauaji ya albino?
Uchawi wa Gamboshi?
ACHENI MAJUNGU HAO WENZETU WAPO MBALI TAYARI LAZIMA TUSHIRIKIANE NAO, HATA HUYO BOSI WENU ANAEWAOGOPA HAO WAZUNGU SIKU AKIUMWA TU MNAMKIMBIZA WAKAMTIBU.

NYERERE, MUGABE NA VIBULI VYAO VYOOTE WALIFIA KWENYE HOSPITALI ZA WAZUNGU.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeshawahi kujiuliza mishahara mikubwa na posho ya kina Gema Akilimali, Hellen Kijo Bisimba, Harold Sungusia na NGO zao inalipwa na nani na walipaji unadhani ni wajomba zetu?
 
Mkuu umemaliza yote. Ni punguani tu atabishana na hizi facts
Jingalao

ARV unapewa bure.
Condom unapewa bure.
Zaidi ya 50% ya budget wanakupa wao.
Zaidi ya 50% ya viongozi wako wamesoma kwao.
Gari unalotembelea wametengeneza wao.
100% ya zana za kijeshi wametengeneza wao na nyingine wamekupa msaada.
Madini unayochimba wao ndio wanunuzi.
Dini mnazoabudu wao ndio walileta.
Internet mnayotumia ni wao wagunduzi.
Laptop zenu zote mnazotumia ni wao.
Simu za mkononi hizo iphone ni zao..
OS kwenye mifumo yenu ni zao..
Wao wana drones huna uwezo wa kuziona.
Kule angani wameweka satelite na wanaona kila kitu..

Mimi nafikiri tuendelee tu kula ugali tuache kelele..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hao wanaochangia 50% ya bajeti yetu ni wajomba zetu pia? Mbona wakati wa kuchangia bajet ya nchi sio majasusi lakini wakichangia kwingine ni majasusi?? Pathetic
U

Umeshawahi kujiuliza mishahara mikubwa na posho ya kina Gema Akilimali, Hellen Kijo Bisimba, Harold Sungusia na NGO zao inalipwa na nani na walipaji unadhani ni wajomba zetu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom