Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Ukihamia uniambie uko wapi nije kukutembelea nione namna gani mikosi imeondoka.Mimi nahamia kigamboni then naunganisha bomba Hadi bahari, ndo maji pekeee yatakayokuwa hanakumika home kwenye kila kitu.....
Asanteeee mkuu kwa wazo zuri linaloweza kugeuzwa kuwa biashara, Nadhani sijui tuiite Soul Cleanser... Tukiitangaza huduma hii tutatoka nikushilikiana vizuri tu na mkuu Jr Mshana.....[emoji4] [emoji4]halafu unafungua car wash ya binadamu, watu wanakuja kuoga kwa malipo
Inawezekana huyo Dada ni msukuma katembelewa na babu/bibi yake,maana sisi wasukuma maji ya bahari ni confirmation kwamba ulikuwa pwani(dar) hasa kwa wazee wa zamaniJana mida ya jioni nilikua pale Kivukoni ferry nikimsubiri mtu, ghafla akaja mdada wa makamo anaelekea kwenye utuuzima hivi.
Yule mdada alikuja na gari yake ndogo hivi, akashuka kwenye gari huku akiwa na kidumu chake mkononi.
Alivuka ule ukingo ambapo mara nyingi watu wanakaaga na kuingia kwenye maji (ilimchukua muda sana mana alikua anaona aibu). Mwisho akaamua liwalo liwe, akajitosa na kidumu chake na kuanza kuchota yale maji.
Alipomaliza kuchota,akachukua mfuko wake wa rambo kwenye sketi yake na kuingiza kidumu chake. Watu wote tulikua tukimshangaa kuanzia pale alipokua anaanza kuvuka ule ukingo,kuchota maji na hata wakati anaondoka watu bado tulikua tukimshangaa.
Nilimuuza jirani yangu kuhusu matumizi ya yale maji maana kwa harufu ya yale maji,sidhani kama yanafaa hata kuogea lakini naye hakuwa na jibu.
Je maji ya bahari ya bahari yana matumizi gani?
Jiwe aende baharin mkuu ...Hujawahi kusikia watu wakiambiwa kuwa wana kimavi hivyo wanapaswa kuogea maji bahari?
Jana mida ya jioni nilikua pale Kivukoni ferry nikimsubiri mtu, ghafla akaja mdada wa makamo anaelekea kwenye utuuzima hivi.
Yule mdada alikuja na gari yake ndogo hivi, akashuka kwenye gari huku akiwa na kidumu chake mkononi.
Alivuka ule ukingo ambapo mara nyingi watu wanakaaga na kuingia kwenye maji (ilimchukua muda sana mana alikua anaona aibu). Mwisho akaamua liwalo liwe, akajitosa na kidumu chake na kuanza kuchota yale maji.
Alipomaliza kuchota,akachukua mfuko wake wa rambo kwenye sketi yake na kuingiza kidumu chake. Watu wote tulikua tukimshangaa kuanzia pale alipokua anaanza kuvuka ule ukingo,kuchota maji na hata wakati anaondoka watu bado tulikua tukimshangaa.
Nilimuuza jirani yangu kuhusu matumizi ya yale maji maana kwa harufu ya yale maji,sidhani kama yanafaa hata kuogea lakini naye hakuwa na jibu.
Je maji ya bahari ya bahari yana matumizi gani?
Shukran mkuuMkuu sikiliza, ni kwamba maji ya bahari pia hutumika kusafishia maji yaliyokuwa na vumbi (suspended particles), mfano kama maji ya bomba yanatoka na uchafu na huo uchafu unatuama na kuacha "fine suspense" bado zikielea basi mfano chukua kama lita mbili za hayo maji na ndani yake dindoshea kama matone 2-3 ya maji ya bahari subiri baada ya masaa 6-7, na uje uangalie matokeo, yatakuwa meupe peeee "cystal ckear".
Hii ni nafasi ya wataalamu wa kemia kudadavua huwa kinafanyika kitu gani katika jambo hilo.
Kuhusu mambo ya "kusafisha nyota" yawezekana watu wakawa na imani hiyo kwa sababu hayo maji ya bahari yana uwezo wa kusafisha maji yenye uchafu kwa hivyo wana amini kuwa "nyota chafu" inaweza kusafishwa pia.
Lakini hiyo ni imani potofu inayopelekea watu kufuata "ushirikina."