Je, majukwaa ya mtandaoni yanapataje hela?

youngin

Member
Joined
Jan 31, 2020
Posts
17
Reaction score
15
Habari za muda wana JF,

Kwa yeyote anayejua namna gani majukwaa ya mtandaoni Kama hii JF ,Ina pataji hela( Faida) ?
 
Yaani ulivyoweka tu huu uzi wenzio weshapata hela tayari....Ndio hivyo tena!
 
Kwanini ww umetumia kitu gani mpk umeingia humu km si hela yaani izo Mb zako ndio hela
Mb ndo hela? Kumbe nyie ndo mnao amini Mb zinachangia hela kwenye Google au Ist au FB au JF n.k....

Mb unazo nunua umewafaidisha tuu tigo,voda au mtandao unaotumia wa simu alafu kesi ya hela kwa Mtandao wa jamii ni matangazo sana kutokana na idadi hai ya watumiaji hamna kingine.

Au wewe MB ngapi ndo za toa kiasi gani cha hela unavyodhani?
Muuliza swali kaauliza vizuri tuu mbona..
 
Tengeneza blog yako,web yako,chanell yako alafu iweke freebasic
 
Habari za muda wana JF,

Kwa yeyote anayejua namna gani majukwaa ya mtandaoni Kama hii JF ,Ina pataji hela( Faida) ?
Kuna majukwaa ya kibiashara na kuna majukwaa ya kuhudumia jamii
Majukwaa ya kibiashara huangalia faida kwanza lakini majukwaa ya kijamii huangalia huduma kwanza.

Kwahiyo si majukwaa yote mitandaoni hupata pesa kwa maana ya kutengeneza faida na mojawapo ya majukwaa hayo ni JF.. Hili lipo kuhudumia zaidi kuliko kutengeneza faida

Jr[emoji769]
 
Kwa hiyo unamaanisha jf ni NGO??
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo majukwa ya kijamii gharama za uendeshaji yanatoa wapi!
 
Swali bado liko palepale
Hayo majukwaa ya kibiashara yanatengenezaje faida?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…