Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bado kuna watu wana mawazo mgando tu ?Kwanini ww umetumia kitu gani mpk umeingia humu km si hela yaani izo Mb zako ndio hela
Mb ndo hela? Kumbe nyie ndo mnao amini Mb zinachangia hela kwenye Google au Ist au FB au JF n.k....Kwanini ww umetumia kitu gani mpk umeingia humu km si hela yaani izo Mb zako ndio hela
Tengeneza blog yako,web yako,chanell yako alafu iweke freebasicMb ndo hela? Kumbe nyie ndo mnao amini Mb zinachangia hela kwenye Google au Ist au FB au JF n.k....
Mb unazo nunua umewafaidisha tuu tigo,voda au mtandao unaotumia wa simu alafu kesi ya hela kwa Mtandao wa jamii ni matangazo sana kutokana na idadi hai ya watumiaji hamna kingine.
Au wewe MB ngapi ndo za toa kiasi gani cha hela unavyodhani?
Muuliza swali kaauliza vizuri tuu mbona..
Kuna majukwaa ya kibiashara na kuna majukwaa ya kuhudumia jamiiHabari za muda wana JF,
Kwa yeyote anayejua namna gani majukwaa ya mtandaoni Kama hii JF ,Ina pataji hela( Faida) ?
Kuna majukwaa ya kibiashara na kuna majukwaa ya kuhudumia jamii
Majukwaa ya kibiashara huangalia faida kwanza lakini majukwaa ya kijamii huangalia huduma kwanza..
Kwahiyo si majukwaa yote mitandaoni hupata pesa kwa maana ya kutengeneza faida na mojawapo ya majukwaa hayo ni JF.. Hili lipo kuhudumia zaidi kuliko kutengeneza faida
Jr[emoji769]
Hayo majukwa ya kijamii gharama za uendeshaji yanatoa wapi!Kuna majukwaa ya kibiashara na kuna majukwaa ya kuhudumia jamii