Je, makampuni ya simu yamepunguza Mb/sec?

Airtel wezi,sinunui Tena mb,yaani GB 1 kusoma jamiiforums kwa siku inaisha!?..nazima data nikiwa na mb 150,kesho asubuhi meseji inakuja mb zimeisha wakati sijawasha data
 
Mkuu una shombo sAna
 
Nahisi wanatupa mfano 1GB kama kiini macho sahihi ni 250MB....

Bundle linakula hela zangu kuliko ngozi yangu.
Kinachotokea kwenye suala la bando ni wizi ulikubuhu na uliobarikiwa.
Viongozi wanafurahi kwasababu wanapunguza watu wanaokosoa serikali mtandaoni
 
Jaza vocha ya 500 au 1000. Ukishaona salio, toa laini kwenye simu yako. Weka pembeni.
kaa siku 1 yaani masaa 24 kisha weka laini yako kwenye simu.
Angalia salio, ukikuta salio liko vile vile, kanunue soda unywe😁😁😁😁
Hayo makampuni ni wezi
 
MAKAMPUNI YA SIMU YANATUIBIA …SIMU ZIMEKUA NA NETOWORK MBOVU SANA NA PIA INTERNET IKO CHINI ……KUNA RADIO ILIKUA INASEMA ASUBUHI KUTOKANA NA KUKATIKA KATIKA UMEME MINARA MINGI HAIFANYI KAZI ….NA PIA KUNA CHANGAMOTO YA GENERETA ZA MINARA KUIBIWA MAFUTA NA BETRI PAMOJA NA BAJETI YA UTUNZAJI WA MIUNDOMBINU KUSHUKA KUTOKANA NA USHINDANI MKUBWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…