Je, Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ni Msaliti wa kupambana na Covid-19 au hujuma?

Je, Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ni Msaliti wa kupambana na Covid-19 au hujuma?

Dunia nzima, Viongozi wanakuwa ni mfano wa kupambana na Corona, lakini baadhi ya Viongozi wa Tanzania wanaonesha kujali akiwepo Rais Samia

Rais, Samia watendaji wako watatuua kwa Corona hadi tuishe. Watatumaliza. Wao sawa wanatibiwa bure, sisi bibi na babu zetu Mkishawaambukiza nani atawatibia?.

Hii picha imenisikitisha sana. Mumekuja kutoa pole au kututoa roho zetu? Mtuombe radhi na kuahidi kwamba hamtarudia kushika mikono ndugu zetu.

Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango akitoa pole kwa mama Selva Nchimbi ambaye ni mke wa marehemu John Alfonso Nchimbi aliyefariki tarehe 23 Januari 2022 Jijini Dar es salaam(katikati ni Balozi Dkt.Emmanuel Nchimbi). Januari 24,2022.

Thread 'Dkt. Mpango awataka watumishi fedha kujihadhari na Corona' Dkt. Mpango awataka watumishi fedha kujihadhari na Corona
Mbona Emma Nchimbi mwanae huyo mama hajavaa barakoa! Kama ni lawama basi zingeanzia kwa Emma na si kwa mgeni.
 
Waziri mkuu wa Uingereza anakabiliwa na shinikizo la kujiuzulu kisa kuhudhuria sherehe tena akiwa amejihami, lakini nchi ya kusadikika hatujali tena mfano mbaya ni makamu wa rais.
Sio kuhudhuria tu.
Bali yeye ndie alialika watu kuja kwenye makazi official ya waziri mkuu na kusheherekea kwa kupiga pombe hadi wakaishiwa na kufuata zingine supermarket ya karibu.
 
Back
Top Bottom