Je, Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ni Msaliti wa kupambana na Covid-19 au hujuma?

Mbona Emma Nchimbi mwanae huyo mama hajavaa barakoa! Kama ni lawama basi zingeanzia kwa Emma na si kwa mgeni.
 
Waziri mkuu wa Uingereza anakabiliwa na shinikizo la kujiuzulu kisa kuhudhuria sherehe tena akiwa amejihami, lakini nchi ya kusadikika hatujali tena mfano mbaya ni makamu wa rais.
Sio kuhudhuria tu.
Bali yeye ndie alialika watu kuja kwenye makazi official ya waziri mkuu na kusheherekea kwa kupiga pombe hadi wakaishiwa na kufuata zingine supermarket ya karibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…