Je, Makardinali ni raia wa Vatican?

Je, Makardinali ni raia wa Vatican?

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Tukiwa bado tunasherehekea kuteuliwa Kwa Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa ambae ataapishwa huko Vatican tarehe 30 Septemba.

Ni vema kutambua Makardinali ndio humchagua Papa, kupitia haki hiyo ya kupiga kura ya kumpata Rais wa Vatican (Baba Mtakatifu) je, Makardinali Wana uraia wa Vatican?
 
Tukiwa bado tunasherehekea kuteuliwa Kwa Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa ambae ataapishwa huko Vatican tarehe 30 Septemba. Ni vema kutambua Makardinali ndio humchagua Papa, kupitia haki hiyo ya kupiga kura ya kumpata Rais wa Vatican (Baba Mtakatifu) je Makardinali Wana uraia wa Vatican?
Ndio ni Raia wa Vatican kabisa wale ni kama Mawaziri wa Papa
 
Katiba ya Tanzania hairuhusu uraia wa nchi mbili, ila katika hili Kanisa Katoliki lipo juu ya Katiba.
 
Tukiwa bado tunasherehekea kuteuliwa Kwa Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa ambae ataapishwa huko Vatican tarehe 30 Septemba. Ni vema kutambua Makardinali ndio humchagua Papa, kupitia haki hiyo ya kupiga kura ya kumpata Rais wa Vatican (Baba Mtakatifu) je Makardinali Wana uraia wa Vatican?

1689022283879.png

Source; https://www.vatican.va/roman_curia/...ormazione_generale/cittadini-vaticani_en.html

1689022398234.png

1689022424396.png

1689022445660.png

1689022475325.png

1689022520719.png

Source: https://blogs.loc.gov/law/2012/07/the-current-legislation-on-citizenship-in-the-vatican-city-state/
 
Ndio ni Raia wa Vatican kabisa wale ni kama Mawaziri wa Papa
Sio kweli kuwa Makardinali wote ni mawaziri wa Vatican. Kwani hata His eminence Protase Cardinal elect Rugambwa alikua Waziri akisimamia wizara ya Uinjilishaji wa watu akiwa si kardinali. Hitaji la msingi kila Waziri wa Vatican lazma awe walau Askofu mkuu.
 
Mabalozi wa Baba Mtakatifu

14 April 2015
Luanda, Angola

Kutoka Ikulu ya Luanda Angola balozi monsignore Novatus Rugambwa akielezea umuhimu wa maridhiano na amani nchini Angola siyo tu ya kisiasa (vyama) pia hadi ngazi ya familia na vijiji kushiriki katika mchakato wa amani

Núncio apostólico defende reconciliação nas famílias e aldeias.
 
Tanzania na nafasi yake katika jumuiya ya Katoliki duniani

Vanuatu, Fiji
Monsigñore Novatus Rugambwa akikabidhi hati za utambulisho kama balozi wa Papa kwa rais wa Fiji Major-General (Ret'd) Jioji Konusi

Fijian President, His Excellency Major-General (Ret'd) Jioji Konusi Konrote received the Letter of Credential from His Excellency Archbishop Novatus Rugambwa, Non-Resident Ambassador Extraordinary and Plenipotentiary of the Holy See (based in Wellington New Zealand) to Fiji at Borron House on 14th November, 2019
 
1689023227320.png

Kuanzia tarehe 14 -21 May 2023 maaskofu wote wa majimbo wapo kwenye hija ya Mitume maalum Rome

Baraza la Maaskofu katoliki Tanzania likiendelea na hija ya kitume huko Roma, Hija ya Maaskofu wa Tanzania inaendelela mjini Vatican kwa kutembelea mabaraza ya kipapa na sehemu nyingine muhimu za kichungaji wakati wa ziara hii,ambapo mara baada ya kukutana na Baba Mtakatifu itahitimishwa Dominika tarehe 21 Mei 2023
 
Monsignore Protase Rugambwa
"Suor Lucia De Gasperi. Disarmata di sé", Monsignore Protase Rugambwa in prima fila per la presentazione del libro
 
Soft power hiyo Tanzania inafunguka kama balozi namba moja rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anavyochagiza diplomasia, nchi yetu wote wamoja tunzungumza lugha moja. Tushangilie pamoja bila kujali tupo upande gani. Bishop Method Kilaini Method Kilaini wa jimbo la Bukoba, Tanzania

vescovo Metodio Kilaini prima parte 2009

Safi sana
 
Back
Top Bottom