Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Nimeona Makonda anaeleza kwamba amenusurika mara tatu kuuwawa; nimeona pia amekataa gari aliyoandaliwa kwenye mapokezi yake. Nimeona ameanza kukataa kupewa viwanja nikajiuliza wakuu wa mikoa waliotangulia upewa viwanja? Na nani ufanya hivyo?
Hofu kubwa aliyonayo akihusishwa na uafrika upo uwezekano hata kiti cha ofisi cha mtangulizi wake kikabadilishwa, furniture za nyumbani kwa. Mkuu wa mkoa the same.
Lakini pia uwezekano akawa anaishi hotelini na may be kwa muda mrefu kidogo akisubiri maboresho na kuondoa vitu vya mtangulizi wake...
Endapo haya yote yanatokea ni kweli tunaaminiana? Kama mtu amekosa imani na rasilimali za umma anapataje imani na uzalendo kwa Taifa lake?