Mr.genius
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 1,374
- 1,201
Salama wa kuu? Sina hakika kama tittle yangu km imekaa vzr, but ntajaribu kuielezea hapa.
Ni kwamba nimekua nikijiuliza hili swali kwamba je, nguvu za ngo'ombe wa maksai zinaweza kutumika kuvuta maji kwa kutumia pump maalum ambazo zitaendeshwa na energy ya maksai?
Sabab za kujiuliza swali hilo ni kutokana na kuona namna vile ng'ombe anaweza kuvuta mkokoteni wenye mzigo mkubwa tu had kilo 700, anaweza kuvuta jembe lile la kukokotwa na ng'ombe (plau) ss km ana energy ya kutosha like this je, hakuna namna ambayo akatumika kuvuta pampu ya maji wakulima tukatumia kwny kumwagilia?
Heb wajuzi wa mambo tafafhali tupeni mwanga hapo na kama kuna pamup za maji ambazo tayari zipo zinaendeshwa kwa nguvu za maksi ningependa kujua ziko wap na ghamarama zake!