Mr.genius
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 1,374
- 1,201
- Thread starter
- #21
Wakuu, lengo la kuuliza hili nililenga na kumtazama mkulima mdgo (na kwa takwimu zlizopo ndo tuko wengi Tz) huku nliko Dom ng'ombe wanatumika sn kulimia, kusafirisha mazao kwa mkokoteni. Nakubalian nanyi huenda efficiency yake ikawa ndogo ni kweli lakini huyu mkulima tayar anang'ombe ss km anae kuna dhambi gan akimtumia kuvuta pamp ya maji? Sabab on my side mi naona ndo itakua njia nzr zaidi ya kum-utilize huyu mnyama to the maximum.
Hebu fkria una maksai anakuletea samadi, anakulimia (pamoja na kupanda), unamtumia km usafiri kusafirishia mazao, anavuta maji kwny heka yako moja au mbili wakat wa kiangaz, akichoka ukimchinja poa tu au ukimuuza yote heri hatuon km kuna efficiency flan hv runaimiss kwa kutokua tunamtumia vzr mnyama huyu.
Mafuta yanapanda bei sn ckuiz, ni vema kuangalia njia mbadala.