Je, malengo uliyoweka toka mwaka huu uanze umeyatimiza?

Yametimia malengo?

  • Ndio

    Votes: 2 33.3%
  • Hapana

    Votes: 3 50.0%
  • Sijui

    Votes: 1 16.7%

  • Total voters
    6
  • Poll closed .
Kwa tathmini yangu nimetimiza 18.9% ya malengo ya 2025. Sababu zilizonikwamisha nazijua vyema nitajipanga zaidi 2026.

Huu mwaka nimetengeneza hela nyingi sana na nimepoteza hela nyingi vile vile. Huu mwaka nimemiliki pesa ambayo sikuwahi ufikia kiwango hicho.
 
tupe mbinu na sisi kaka za kutengeneza pesa
 
Ukweli sijui hata, kubwa nililobahatika kula afisa mmoja mkubwa na mwenye hela nahisi ndio jambo la maana pekee mwaka huu
 
Back
Top Bottom