apostle maisha
New Member
- Jun 1, 2024
- 1
- 2
tupe mbinu na sisi kaka za kutengeneza pesaKwa tathmini yangu nimetimiza 18.9% ya malengo ya 2025. Sababu zilizonikwamisha nazijua vyema nitajipanga zaidi 2026.
Huu mwaka nimetengeneza hela nyingi sana na nimepoteza hela nyingi vile vile. Huu mwaka nimemiliki pesa ambayo sikuwahi ufikia kiwango hicho.
Kuongeza juhudi kwa kile unachokifanya bila kukata tamaa pia nidhamu ya pesa ni muhimu sana.tupe mbinu na sisi kaka za kutengeneza pesa