Usiwe na wasiwasi, kinachoendelea Zanzibar ni sawa kabisa. Muungano wetu ni very unique, kimataifa ni muungano wa union wa nchi moja, rais mmoja wa JMT, na serikali moja. Hivyo mabalozi wote wanajitambulisha kwa rais wa JMT only.
Kwa ndani ya muungano, muungano wetu ni wa federation lenye nchi mbili, marais wawili na serikali mbili. Hivyo balozi zote zinawajibika kuwa na ofisi ndogo Zanzibar.
Na kwa mambo ambayo sio ya muungano, Zanzibar ina haki ya kupata misaada na mikopo ya kimataifa kwa udhamini wa serikali ya JMT. Hivyo whatever taking place over there ni legit
P