Mmea Jr
JF-Expert Member
- May 20, 2016
- 988
- 2,303
Moja kwa Moja kwenye mada .Wote bila shaka tumeona kwa namna gani technolojia ya Dunia inavyoenda haraka . Kama utakuwa umepita pita mitandaoni basi bila shaka umeisikia habari Inayo vuma kwa kasi ya ujio wa gari mpya Toka kampuni ya Tesla . Kampuni inayomilikiwa na Tajiri namba Moja bwana Elon musk . Gari hii tofauti na gari nyingine zote tulizowahi kuziona Duniani gari hii imekuja na sifaa ya kipee ya kuwa na uwezo wa kupaaa angani kitu ambacho kimeonekana kuwa ni kitu kimpya katika solo la magari Duniani kotee.
Kwa mujibu wa bwana Elon , mafanikio haya yamepatikana baadae ya kuweza kufunga mfumo wa gesi baridi maarufu kama Cold gas thruster mfumo unaoiwezesha garii hii kupaa angan katika gari hii. Awali mfumo huu ulitumika zaidi katika rocket na vifaa vingine vilivyokuwa na safari zake angani lakin kwa kupitia kampuni ya Tesla imewezesha mfumo huu kutumika hata kwenye magari na kubali mitazamo mzima wa watu wengi walionao mwanzano
Lakini jambo hili linaibua mjadala mwingine hasa kwa nchi zetu za kiafrika hususani Tanzania . Je tumejiandaje na kuyapokea mabadiliko na maendeleo haya ya kitechnolojia ? Mfano kwa hapa Tanzania ili mtu aweze kupata kibali Cha kuendesha gari ni lazima awe amepata mafuñzo Toka chuo chochote kinachotambulika kama vile VETA , na awe na leseni inayoanzia Daraja D na kuendelea . Je leseni au vibari hivi bado vitaendelea kumpa sifa Dereva wa kitanzania kuweza kuendesha gari aina ya Tesla roadster ??
Kama jibu ndiyo ,je madereva au wamiliki wa magari haya watatakiwa waende mafuñzo yoyote ya ziada ambayo watapaswa kuyafanya kabla ya kuingia Barbarani ??
Kama jibu ndiyo , je vyuo vyetu vinavyotoa mafuñzo ya usafiri kama vile N.I.T na VETA je Kuna mtaala wowote unaousisha mafunzo yanayohusiana na gari za namna hii ??
Lakini nje na hapo ,, kwa Kawaida Barabara zetu zimekuwa na alama Mbali mbali mbali kama vile alama zinazotoa onyo , taarifa au amri zinazowasaidia watumiaji mbali mbali wa Barabara pindi wanapotumia Barabara Toka sehemu Moja kwenda nyingine . Lakini katika alama hizi hakuna hata Moja ambayo inayahusisha magari ya namna hii Yani magari yanayopaa . Sasa magari haya yatakapo fika Afrika hususani kwenye nchi yetu je mamlaka zitaongeza Sheria na alama za Barbarani ili kuyahusisha magari ya namna hii ??? Vipi kuhusu hisi Barabara zetu Zina support kweli hizi gari kupitia ??
Lakini pia najaribu kuwaza tu ikatokea Kila mtu yupo na lake huko angani Hali itakuwaje ??
Na mwisho kabisa watakao kuwa wanayaendesha magari haya tutawaitaje Sasa madereva au marubani ???