Je, Man united kucheza UEFA Champions League endapo itatwaa kombe la Europa?

Mkuu labda unisaidie maana ni kma nliskia maximu number ya ligi kupeleka timu ligi ya mabingwa ni 5!!! Ama hyo sheria ipo applicable kwa ligi ya hispania pekeee maana ilipeleka 5 msimu huu
Wamesema max namba ya timu kwenda ucl ni 5 baada ya watu kuhoji iwapo bingwa wa europa na ucl wakitoka nchi moja halafu mwaka huo huo hao mabingwa hawakumaliza ndani ya top 4 kwenye ligi yao, kwa kawaida wa kwanza kwenye ligi hadi wa 4 wanashiriki ucl pia bingwa wa europa na ucl pia wanashiriki, sasa yakitokea mazingira hayo yule aliyeshika namba 4 anampisha bingwa wa ucl kutetea kombe na yeye anaenda europa, pia ikumbukwe sio kila nchi hupeleka timu4 wengine hupeleka tatu,
 
Jose alifanya risk analysis,akaona mechi zilizosalia ni ngumu,akaona option nzuri ni Europa
Akishinda Europa atakuwa amefanikiwa sana mission.
Akifeli atakuwa disappointed sana
 
Chuki tu na wivu ndo zimekujaa na sio ajabu we shabiki wa arsenal.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Penye ukweli lazma tuseme
Kumfunga ajax labda
Mumnunue refa kama
Wanavofanya waspanish

Na mm n arsenal dam hata
Wenger ananitambua[emoji1] [emoji1]
 
Mfano mdogo tu n Italy na France
 
Kusema nafasi ya tano hachezi EUROPA si kweli. EPL wana nafasi 4 UEFA na 3 EUROPA. Sasa tuangalie europa wanapataje nafasi hizo? Timu iliyoshika nafasi ya tano ana qualify EUROPA na pili ni bingwa wa FA na timu ya tatu ni bingwa wa capital zamani ikiitwa carling cup.Na endapo makombe hayo yatachukuliwa na top 4 basi mshindi wa sita na saba wanaenda EUROPA. Kwa kuwa mwaka jana Spain zilikwalify timu5 UEFA baada ya sevila iliyoshika na 5 laliga ilitwaa EUROPA basi man u akishinda epl zitakwenda timu 5 UEFA. Note: Mimi siyo fans wa man u
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…