Smart Guy
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 6,808
- 6,934
Chuki tu na wivu ndo zimekujaa na sio ajabu we shabiki wa arsenal.Man u gani ya kumfunga ajax
Hata ile ya fagason haiwez
Sembuse hii ya jose
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chuki tu na wivu ndo zimekujaa na sio ajabu we shabiki wa arsenal.Man u gani ya kumfunga ajax
Hata ile ya fagason haiwez
Sembuse hii ya jose
ila wabongo mnachekesha yaani mpaka mnatia hurumaWewe jamaa unachanganya mambo! Ingekuwa hivyo Mourinho asingezipuuzia mechi za EPL.
Tunamkamua Ajax na tunatinga UCL.
Nyie Asenane mtacheza ALHAMISI usiku.
Wamesema max namba ya timu kwenda ucl ni 5 baada ya watu kuhoji iwapo bingwa wa europa na ucl wakitoka nchi moja halafu mwaka huo huo hao mabingwa hawakumaliza ndani ya top 4 kwenye ligi yao, kwa kawaida wa kwanza kwenye ligi hadi wa 4 wanashiriki ucl pia bingwa wa europa na ucl pia wanashiriki, sasa yakitokea mazingira hayo yule aliyeshika namba 4 anampisha bingwa wa ucl kutetea kombe na yeye anaenda europa, pia ikumbukwe sio kila nchi hupeleka timu4 wengine hupeleka tatu,Mkuu labda unisaidie maana ni kma nliskia maximu number ya ligi kupeleka timu ligi ya mabingwa ni 5!!! Ama hyo sheria ipo applicable kwa ligi ya hispania pekeee maana ilipeleka 5 msimu huu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Chuki tu na wivu ndo zimekujaa na sio ajabu we shabiki wa arsenal.
Mfano mdogo tu n Italy na FranceWamesema max namba ya timu kwenda ucl ni 5 baada ya watu kuhoji iwapo bingwa wa europa na ucl wakitoka nchi moja halafu mwaka huo huo hao mabingwa hawakumaliza ndani ya top 4 kwenye ligi yao, kwa kawaida wa kwanza kwenye ligi hadi wa 4 wanashiriki ucl pia bingwa wa europa na ucl pia wanashiriki, sasa yakitokea mazingira hayo yule aliyeshika namba 4 anampisha bingwa wa ucl kutetea kombe na yeye anaenda europa, pia ikumbukwe sio kila nchi hupeleka timu4 wengine hupeleka tatu,
Ni sahihi ulivyosemaMsijifanye vichaa humu ndani... Man Utd akishinda anaenda UCL, na timu zote za big four zinaenda pia, kwaiyo zitaenda timu tano
Kusema nafasi ya tano hachezi EUROPA si kweli. EPL wana nafasi 4 UEFA na 3 EUROPA. Sasa tuangalie europa wanapataje nafasi hizo? Timu iliyoshika nafasi ya tano ana qualify EUROPA na pili ni bingwa wa FA na timu ya tatu ni bingwa wa capital zamani ikiitwa carling cup.Na endapo makombe hayo yatachukuliwa na top 4 basi mshindi wa sita na saba wanaenda EUROPA. Kwa kuwa mwaka jana Spain zilikwalify timu5 UEFA baada ya sevila iliyoshika na 5 laliga ilitwaa EUROPA basi man u akishinda epl zitakwenda timu 5 UEFA. Note: Mimi siyo fans wa man uNi kweli manU ikishinda uropa cup inacheza moja kwa moja UEFA Champion league, halafu mshindi wa nne EPL anaenda kucheza UROPA, halafu mshindi wa tano wa EPL anaambulia patupu hachezi UROPA kama ilivyozoeleka.
Ndio maana GARDIOLA, KLOPP na WENGER matumbo jato wanapigana vikumbo kuwahi nafasi ya 3 ambayo ndiyo salama.