Je, maneno haya kuhusu hasara za kuoa mwanamke mzuri ni kweli?

Je, maneno haya kuhusu hasara za kuoa mwanamke mzuri ni kweli?

Oa kikupendezacho mzee, wanaume tumeumbwa kutamani kabla ya kuoa, jichanganye sasa kuoa mbaya uone
 
Ngoja kwanza asimame tutatoa majibu Mkuu 😂😂
😅😅
FB_IMG_16872821908243661.jpg
 
As long as kuchapiwa hakukwepeki, lazima nichague mwanamke mrembo, Mwenye tako kubwa Laini Kama skonzi na hips za kutosha. No matter what.
Hili ndio neno mwanawane. Mwanamke ng'ong'ozo au mzuri bado utachapiwa tuu so wewe chukua kitu pisi kali basi
 
Tako kwanza bwana we

...vingine tutarekebishana baadae......
Tako muhimu aisee kwanza akivaa nguo anapendeza ambaye hana tako ata avaaje hapendezi 🤣🤣🤣🤣
 
Na hamna kitu kizuri kama kuona pretty woman na Ana akili pia!
 
Back
Top Bottom