Je, maneno haya kuhusu hasara za kuoa mwanamke mzuri ni kweli?

Oa kikupendezacho mzee, wanaume tumeumbwa kutamani kabla ya kuoa, jichanganye sasa kuoa mbaya uone
 
As long as kuchapiwa hakukwepeki, lazima nichague mwanamke mrembo, Mwenye tako kubwa Laini Kama skonzi na hips za kutosha. No matter what.
Hili ndio neno mwanawane. Mwanamke ng'ong'ozo au mzuri bado utachapiwa tuu so wewe chukua kitu pisi kali basi
 
Tako kwanza bwana we

...vingine tutarekebishana baadae......
Tako muhimu aisee kwanza akivaa nguo anapendeza ambaye hana tako ata avaaje hapendezi 🀣🀣🀣🀣
 
Na hamna kitu kizuri kama kuona pretty woman na Ana akili pia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…