Je, manii/shahawa zina madhara kiafya iwapo nitazimeza?

Niliwahi kusoma nakala moja kwenye gazeti la kibongo juu ya mapenzi kwa njia ya mdomo yaani mwanamke kutia uume mdomoni mwake yanavyosababisha kansa ya koo kwa asilimia kubwa....kwa undani zaidi ni vyema mkaenda kupata kipimo hicho mapena..poleni kwa tatizo hilo..!!
 
Jee na wewe huwa unashuka chumvini? Au ndio nyie mnaopenda kufanyiwa tuuu

Chumvini cjawahi Chebe17 ila sasa nimeshakua addicted na kunyonywa maana najiskia raha kuliko hata SEX yenyewe!!!! Kama haujawahi kufanyiwa usije ukajaribu maana hautaacha!!!!
 
Chumvini cjawahi Chebe17 ila sasa nimeshakua addicted na kunyonywa maana najiskia raha kuliko hata SEX yenyewe!!!! Kama haujawahi kufanyiwa usije ukajaribu maana hautaacha!!!!

Ninabahati na totoz wanaopenda koni. Ila kama unamwamini shuka chumvin siku mojamoja bora awe msafi. Utakuwa humtendei haki. Atachepuka kwenda kutafuta mla chumvi aisee..
 
Wenzako wanawanywesha wake zao maziwa, juice, yogat, maji, soda nk, lakini wewe dume katili wako unamuua hivihivi unamuona duh!!!. na ninyi wanawake sijui mnamatatizo gani kilakitu mnakubali tu yaan mbulula wakubwa nyinyi, sasa ona huyo marehemu tarajiwa....
 
Daktari ulimweleza juu ya
hilo kabla hujaja kutaka ushauri humu "wa kila namna"? Anyway kwann
usimpumzishe na hiyo starehe ya kunyonya na kumeza miuji yako kwani nani
kakwambia huo ni mtori?

duuh hatar
 

hao mbulula wakubwa hadi kwenye familia yenu wapo!
 
sisi wabongo ni wapuuzi sana tunapenda kuiga mambo ya wazungu wao wanaektia maroboti, midoli wanarusha mitandaoni lengo kuharibu utamaduni wetu siye tulivyokuwa mambulula bila hata kuangalia madhara tunaiga tunaangalia faida tu ss endeleeni kuiga mpaka magonjwa yote ya ajabu yasiyo na tiba tuyaibue na yatumalize siye na vizazi vyetu vijavyo
 

Amanijua Je,amefanya kipimo gani cha kifua? Je, kuna dalili nyingine zaidi ya hizo?Je, hiyo style ya kusuck aliianzia kwako au kwa ex-wake? kukohoa sana sometime ni dalili moja wapo ya kuwa na Minyoo!
 
Kwenye hili naweza kusema katika mapenzi yao kulikuwa Hamna uaminifu....kwamba mwanamke anafanya tendo hilo katika hali ya usalama,i mean mwanaume alijiswafisha nyeti zake na je mwanamke kadharika katika kila siku wafanyapo oral sex....pia kama mke alikuwa akivunja uaminifu na kunyonya nje.
Kama hamkujiswafisha ipasavyo na kama mmoja wenu hakuwa mwaminifu.hapo mkuu OCEAN ROAD inakuhusu kuchukua vipimo vya cancer ya koo.
 


Xady upo harsh sana,,,,!!! Mi naamini sisi sote ni marehem watarajiwa maana kila nafsi itaonja mauti,,,,!!!! Cha msingi hapa ni ushauri na cyo kumtisha mtu bhana.
 
Ninabahati na totoz wanaopenda koni. Ila kama unamwamini shuka chumvin siku mojamoja bora awe msafi. Utakuwa humtendei haki. Atachepuka kwenda kutafuta mla chumvi aisee..

Unajua maumbile ya wanawake ni tofauti na wanaume kabisa.Hata mwanamke awe msafi vipi cwezi kwenda chumvini mkuu na ctakuja kufanya hivyo maana huko chumvini kuna bakteria wasio na idadi.
Nisije nikababuka midomo bure,,,,,!!!!!
 
Du! Umetisha kk yani anameza kabisa.no comment hapo kk.
 
kichwa chako sina uhakika kama kinafanya kazi vizuri,yani akili yako yooooooooooooooooooooooooooote imefikilia ikakosa majibu kwamba hutakiwi kumeza wala kunywa coz huo ni uchafu na laana mjinga wew angalia sana uko hatarini wezako tunakunywa maziwa ya ng'ombe wewe unakunya huo ujinga,ukipata fungus ya mdomo utamlilia nani jamani wew binti mbona wanihuzunisha na kuniogopesha jaman jamani mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmh............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…