Je, maoni ya wananchi yana nguvu?

Je, maoni ya wananchi yana nguvu?

Nyabukika

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2022
Posts
1,440
Reaction score
1,046
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dk Jakaya Kikwete, amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa uamuzi wa kuunda kikosi kazi cha ukusanyaji wa maoni, kuhusu masuala ya siasa na kusema uwepo wake utasaidia kupunguza joto la kisiasa lililopo nchini.

Haya ni baadhi tu ya maoni ambayo wananchi walituma Salamu Kwa Rais Samia Suluhu Hassan
kwakuwa yeye usikivu ni hulka yake ameyafanyia kazi Kwa ukubwa wake.

1. Punguzo la miamala ya kieletroniki

2. Ameweka Ruzuku ya mafuta Billioni 100 ambayo imepelekea mafuta kushuka bei

3. Ruzuku ya mbolea Bilioni 150 sasa wakulima wananunua mbolea kwa nusu bei na gharama za kilimo zimepungua

4. Msamaha wa VAT kwenye nyasi bandia

5. Ameirejesha Demekrasia iliyokua imepotea

6. Punguzo la faini ya makosa ya pikipiki na Bajaji hadi 10,000

Na mengine mengi tu,kwahiyo Wananchi kazi yetu ni kuwasilisha tu maoni na siyo kuwatusi viongozi wetu tunavyopaza sauti wanasikia na kutendea kazi maoni yetu.
 
Hayo peke yake hayatoshi, kama kweli yeye ni kiongozi msikivu, basi azifute kabisa hizi tozo zinazolakamikiwa Sana na wananchi
 
kama ulimsikiliza mweznezi wa ccm alisema kamati kuu ya ccm imemwomba Rais Samia Suluhu kupunguza tozo na kwakua Rais ni msikivu na anasiliza watu wake lazima atafanyia kazi
 
Back
Top Bottom