Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kuna kijiushahidi cha kukazia ?Walishamalizana
Watajuana wenyewe sisi haituhusu Ila DAB ajisalimishe ubalozini akaombe wamfutie hio nuksiSerikali ya Marekani imemuweka Paulo Makonda kwenye orodha ya Watu hatari duniani , huyu hatakiwi kukanyaga Marekani na nchi washirika wa Marekani .
Anatuhumiwa kuhusika na usitishaji wa Uhai wa binadamu wengine nchini Tanzania , Kwa tafsiri rahisi , kusitisha Uhai wa watu wengine ni kuwaua , kwamba Makonda hatakiwi kuingia Marekani na Nchi Washirika kwa vile ni Muuaji , ikumbukwe kwamba USA haijawahi kumsingizia mtu tuhuma kama hizi , hii ina maana kwamba wana ushahidi wa kutosha .
Sasa swali letu ni hili , baada ya ccm kumpa cheo mtuhumiwa wa mauaji Makonda , uhusiano wake na Marekani utaendelea ?
Ikumbukwe kuwa Marekani haina adui ama rafiki wa kudumu, huangalia maslahi yake tu kwa wakati husikaSerikali ya Marekani imemuweka Paulo Makonda kwenye orodha ya Watu hatari duniani , huyu hatakiwi kukanyaga Marekani na nchi washirika wa Marekani .
Anatuhumiwa kuhusika na usitishaji wa Uhai wa binadamu wengine nchini Tanzania , Kwa tafsiri rahisi , kusitisha Uhai wa watu wengine ni kuwaua , kwamba Makonda hatakiwi kuingia Marekani na Nchi Washirika kwa vile ni Muuaji , ikumbukwe kwamba USA haijawahi kumsingizia mtu tuhuma kama hizi , hii ina maana kwamba wana ushahidi wa kutosha .
Sasa swali letu ni hili , baada ya ccm kumpa cheo mtuhumiwa wa mauaji Makonda , uhusiano wake na Narekani utaendelea ?
Aweke hata kapicha tukuna kijiushahidi cha kukazia ?
Makonda na Marekani lao moja. Wanamjua kuwa naye ni watoto wasio rizikiSerikali ya Marekani imemuweka Paulo Makonda kwenye orodha ya Watu hatari duniani, huyu hatakiwi kukanyaga Marekani na nchi washirika wa Marekani.
Anatuhumiwa kuhusika na usitishaji wa Uhai wa binadamu wengine nchini Tanzania, Kwa tafsiri rahisi, kusitisha Uhai wa watu wengine ni kuwaua, kwamba Makonda hatakiwi kuingia Marekani na Nchi Washirika kwa vile ni Muuaji, ikumbukwe kwamba USA haijawahi kumsingizia mtu tuhuma kama hizi, hii ina maana kwamba wana ushahidi wa kutosha.
Sasa swali letu ni hili, baada ya ccm kumpa cheo mtuhumiwa wa mauaji Makonda, uhusiano wake na Marekani utaendelea?
Nenda basi kashtaki.πMungu wabariki Wazungu
Anawaua akina nani ?Netanyahu anaua watu kila kukicha lakini ni rafiki wa Marekani
Huna hojaUS hana adui wala rafiki wa kudumu,walafi wa madaraka wakihonga hata kamgodi kadogo Geita kumpa US Makonda anawekewa red carpet kuanzia Airport mpaka Pentagon.
Tujisimamie kujikomboa bila kutegemea wazungu wenye kuangalia maslahi yao kwanza.
Mwarabu katwishwa bandari mgongoni kasepa nayo,ile opereshen okoa bandari imebuma au vipi?Huna hoja
Wakisitisha uhusiano itakuwa safi sana. Watatupa nafasi ya wazi kabisa kujiunga BRICS bila kupigiwa kelele za kijingajinga.Lazima USA ivunje uhusiano na ccm pamoja na serikali yake.
Binadamu walioko GazaAnawaua akina nani ?
ukombozi haujawahi kukwamaMwarabu katwishwa bandari mgongoni kasepa nayo,ile opereshen okoa bandari imebuma au vipi?
πππππMakonda na Marekani lao moja. Wanamjua kuwa naye ni watoto wasio riziki
Wanaweza hata kuimarisha uhusiano na Makonda.....US huwajui.l wakishapewa vitaluSerikali ya Marekani imemuweka Paulo Makonda kwenye orodha ya Watu hatari duniani, huyu hatakiwi kukanyaga Marekani na nchi washirika wa Marekani.
Anatuhumiwa kuhusika na usitishaji wa Uhai wa binadamu wengine nchini Tanzania, Kwa tafsiri rahisi, kusitisha Uhai wa watu wengine ni kuwaua, kwamba Makonda hatakiwi kuingia Marekani na Nchi Washirika kwa vile ni Muuaji, ikumbukwe kwamba USA haijawahi kumsingizia mtu tuhuma kama hizi, hii ina maana kwamba wana ushahidi wa kutosha.
Sasa swali letu ni hili, baada ya ccm kumpa cheo mtuhumiwa wa mauaji Makonda, uhusiano wake na Marekani utaendelea?
Kwa hiyo Imekuwa ya Nyumbani kwenu?Mwarabu katwishwa bandari mgongoni kasepa nayo,ile opereshen okoa bandari imebuma au vipi?