Je, Marekani kuvunja Uhusiano na CCM?

Je, Marekani kuvunja Uhusiano na CCM?

Serikali ya Marekani imemuweka Paulo Makonda kwenye orodha ya Watu hatari duniani, huyu hatakiwi kukanyaga Marekani na nchi washirika wa Marekani.

Anatuhumiwa kuhusika na usitishaji wa Uhai wa binadamu wengine nchini Tanzania, Kwa tafsiri rahisi, kusitisha Uhai wa watu wengine ni kuwaua, kwamba Makonda hatakiwi kuingia Marekani na Nchi Washirika kwa vile ni Muuaji, ikumbukwe kwamba USA haijawahi kumsingizia mtu tuhuma kama hizi, hii ina maana kwamba wana ushahidi wa kutosha.

Sasa swali letu ni hili, baada ya ccm kumpa cheo mtuhumiwa wa mauaji Makonda, uhusiano wake na Marekani utaendelea?

USA wa ban makonda , na si chama. + US hana interest na politics za bongo ana interest na politics za bongo
 
Serikali ya Marekani imemuweka Paulo Makonda kwenye orodha ya Watu hatari duniani, huyu hatakiwi kukanyaga Marekani na nchi washirika wa Marekani.

Anatuhumiwa kuhusika na usitishaji wa Uhai wa binadamu wengine nchini Tanzania, Kwa tafsiri rahisi, kusitisha Uhai wa watu wengine ni kuwaua, kwamba Makonda hatakiwi kuingia Marekani na Nchi Washirika kwa vile ni Muuaji, ikumbukwe kwamba USA haijawahi kumsingizia mtu tuhuma kama hizi, hii ina maana kwamba wana ushahidi wa kutosha.

Sasa swali letu ni hili, baada ya ccm kumpa cheo mtuhumiwa wa mauaji Makonda, uhusiano wake na Marekani utaendelea?
Kwani Yuko Serikalini? Si Yuko kwenye Uongozi wa Chama?
 
Inaonyesha Makamba alikuwa thoughtless. Hakuwatahadharisha CCM.
Sidhani kama ulikuwa uteuzi wa makusudi kuitukana Marekani.
 
Marekani ukiingilia maslahi yao ndipo utakapojua kuwa hujui !!
Lakini hayo mengine kwao huwa ni porojo za kisiasa tu !
Jua pia Marekani wasipokuwa na maslahi makubwa ya kimkakati katika nchi yako basi jiandae kudhibitiwa katika mambo ya “kimaadili” - hususan haki za binadamu na demorasia.

Mateso na mauaji ya wapinzani/wakosoaji; vitisho kwa mashoga ni msala tosha kwa Tz kupewa “warning” na US. Ndio maana serikali iliwahi kumkana Makonda kwenye “msako” wa mashoga. Pompeo akamtwisha na la mauaji ya raia (haki ya kuishi).
 
Serikali ya Marekani imemuweka Paulo Makonda kwenye orodha ya Watu hatari duniani, huyu hatakiwi kukanyaga Marekani na nchi washirika wa Marekani.

Anatuhumiwa kuhusika na usitishaji wa Uhai wa binadamu wengine nchini Tanzania, Kwa tafsiri rahisi, kusitisha Uhai wa watu wengine ni kuwaua, kwamba Makonda hatakiwi kuingia Marekani na Nchi Washirika kwa vile ni Muuaji, ikumbukwe kwamba USA haijawahi kumsingizia mtu tuhuma kama hizi, hii ina maana kwamba wana ushahidi wa kutosha.

Sasa swali letu ni hili, baada ya ccm kumpa cheo mtuhumiwa wa mauaji Makonda, uhusiano wake na Marekani utaendelea?
Wataweza?
 
Damu za watu zitaendelea kumshtakia muuja Makonda maisha yake yote.

Pumzika kwa amani Ben Sanane. Muuaji wako japo amepewa cheo na CCM, lakini hukumu yake hataikwepa, yeye na wenzi wake katika uovu. Laana juu yake na kizazi chake itembee naye daima.
Kumbe ulimuona Ben Sanane kauwawa na umeshindwa kutoa ushahidi mahakamani
 
Hapa msipende ku exaggerate mambo, Makonda alipewa adhabu na Marekani ya kupigwa ban ya kwenda huko,kwa kosa la kutaka kuwakamata mashoga wote wliopo katika jiji la Dar wakati huo,hakutuhumiwa uuaji.
 
Hapa msipende ku exaggerate mambo,makonda alipewa adhabu na Marekani ya kupigwa ban ya kwenda huko,kwa kosa la kutaka kuwakamata mashoga wote wliopo katika jiji la Dar wakati huo,hakutuhumiwa uuaji.
Wadanganye wajinga mno !
 
1698105570458.png
 
Ikumbukwe kuwa Marekani haina adui ama rafiki wa kudumu, huangalia maslahi yake tu kwa wakati husika

View attachment 2789692
Msikariri usemi huo, hio ni katika nyanja zingine sio katika makosa yahusuyo uhalifu wa Kavita, mauaji na ugaidi.
Hebu tutajieni gaidi au muuaji waliye mtangaza kuwa adui yako kisha wakaja mtangaza rafiki!
Ni kwa vile Makonda aliwasitishia haki ya kuishi wamatumbi wetu tuu ndio maana wanamzuia huko kwao na hata pale ubalozini hakanyagi, lakini katika hao angekuwepo raia wao tusingeshangaa siku moja akitunguliwa na drone.
 
MBS alituma watu wamuuwe Kashogi nchini Uturuki. Baada ya kujaribu kumkingia kifua kushindikana Trump alisema hawataiwekea vikwazo Saudi Arabia kwa sababu kuna malaki ya ajira za wamarekani yatapotea.
Kashogi wala hakuwa ISIL, HAMAS au TALIBAN.
 
Back
Top Bottom