Je, Marekani kuvunja Uhusiano na CCM?

Marekani sio peponi kwamba kila mtu anatamani kwenda.
 
Kiukweli Mahusiano ni Muhimu sana, hasa mahusiano Mazuri ya Kidiplomasia lakini kuna baadhi ya Mataifa kuwa na Mahusiano nayo unakuwa na Faida 1 tu ya Kiuchumi wa dharula lakini siyo wa Kudumu na Hasara kubwa kwenye maeneo Mengine Kama Kojamii (Kuhamasisha Ndoa za Jinsia Moja na kuifanya ni haki ya Binadamu jambo ambalo ni laana), Kidini, Kisiasa, Kiitikadi, Biashara haramu za madawa ya kulevya, Kisayansi n.k.
 
Maslahi ya USA ni makubwa sana hapa kuliko hiyo issue, USA kipaumbele chake namba moja ni maslahi kwanza .
 
CCM wanaudhi!
 
Hatari sana
 
USA hawna rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu, ukigusa maslahi yao wanakusugua mgongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…