britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Maridhiano ya Mbowe na Ikulu yana jambo ambalo wengi ulibeza Ila yamesaidia sana CCM kutawala kwa ujanja tena bila kufuata sheria na taratibu kadhaa Kama Katiba inavyotamka!
Na kuna swali “Je kutolewa mbowe Gerezani wakati ushindi wa Kesi ulikuwa unaelekea kuwa kwa upande wake waka m time atolewe apelekwe Ikulu ili awasaidie baadhi ya mambo watawala kimataifa na kitaifa”?
Je Yawezekana ni TISS ambaye yupo upinzani ku monitor mienendo ya upinzani wa kweli ?
Je Yawezekana tukaja kugundua wakati tushachelewa, kwamba tunatibu kirusi Kingine kumbe kirusi ni kingine ?
Soma pia
www.jamiiforums.com
Na
www.jamiiforums.com
Britanicca

Mlete haraka kuliko afungwe atatusaidia kwenye mambo yetu
Mambo yetu ili yanyooke mtoeni jamaa nje alafu moja kwa moja aje nyumba mithili ya meli ! Pale wanapoingia kwa code maalumu na hawaitani majina wanaitana chifu pili ukienda ijumaa aga kabisa nyumbani wenda ukarudi jumatatu maana simu zinaachwa reception 🤕 Itatupunguzia haya Kitaifa tutatulia...
Na
CHADEMA Kuna Kirusi! Je, Unajua kirusi hiki ni Nani?! Na The Motive Behind?
Wanabodi, Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Mhe. Zitto Zuberi Kabwe, amesema kuna "kirusi" ndani ya Chadema ambacho kinakitafuna Chadema ndani kwa ndani kwa mtindo wa Kikulacho!. Jee unakijua kirusi hicho ni nani?, na nini ni motive yake "the motive behind"?!. Kufuatia uzoefu wangu binafsi...
Britanicca