Uwezekano upo.Nmekatwa nikiwa nanyolewa nmestuka kidogo maana mashine inatumiwa na watu tofuaut tofuauti.
Exalio.
baada ya kukatwa jee ulipaka sprit, kama jibu ni ndio basi usiwe na shaka au kama mashine ya kunyolewa kabla ya kukunyoa kama ilipakwa sprit kaa relax hakuna shidaNmekwisha[emoji16][emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nmepaka poda
Nmekwisha[emoji16][emoji16]
Usalama wa hivi vifaa ni mdogo sana hasa huku uchochoroni.... Kukatwa hili hutokea pale wanapoanza kuchonga but, kiuhalisia unakuwa kwenye hatari pia ya maambukizi kwamaana hakuna sterility ya kifaa chenyewe....Nmekatwa nikiwa nanyolewa nmestuka kidogo maana mashine inatumiwa na watu tofuaut tofuauti.
Exalio.
Acha wenge bro,ingekuwa ni hatari kiasi hiko unachoogopa wewe hakuna ambaye angebaki salama.Nmekwisha[emoji16][emoji16]