Je, mashine ya kunyolea inaweza kuambukiza VVU?

Hiyo hakuna kabisa na Mungu sijui aliliangaliaje hili maana wanaume karibia wote Tanzania tungeshaa futika maana kila nikinyoa zile mashine tena za uswahilini nikiwekewa spirity maumivu yake sio ya nchi hii kitu ambacho kinaonyesha nimejeruhiwa na mashine hizo lakini niko powa kabisa .
 
Nmekatwa nikiwa nanyolewa nmestuka kidogo maana mashine inatumiwa na watu tofuaut tofuauti.

Exalio.
Kitu chochote kinaweza kubeba ukimwi km kitaweza kubeba virusi na kuviingiza ktk damu ya MTU mwingine,
Hata hewa ikiweza kubeba itaweza ambukiza
 
baada ya kukatwa jee ulipaka sprit, kama jibu ni ndio basi usiwe na shaka au kama mashine ya kunyolewa kabla ya kukunyoa kama ilipakwa sprit kaa relax hakuna shida
Mkuu kama haufahamu, bora uvunge spirit haizuii maambukizo. Bali ni mashine ya sterilizer Ambayo kila ukienda saloon kubwa lazima uikute, haishauriwi kupaka spirit baada ya kunyoa.
 
baada ya kukatwa jee ulipaka sprit, kama jibu ni ndio basi usiwe na shaka au kama mashine ya kunyolewa kabla ya kukunyoa kama ilipakwa sprit kaa relax hakuna shida
How ?
 
ingekua ni rahis hivo..basi wanaume karibia wote hapa Tanzania tungekua waathirika wa ukimwi.
 
Cha Msingi ni kuchukua tahadhari mapema,kabla hajaanza kukunyoa lazima asafishe na spirit au afanye sterilization with special equipment,pia ni rare sana kupata vvu kwa mashine labda mtu mwenye vvu akatwe hapo hapo kisha aitoe hapo hapo akukate wewe ambacho kitu hakiwezekani maana itakuwa kama sio zoezi la kunyoa bali kuambukizana vvu makusudi.
 
Ni ngumu kupata,kwanza kutokana na ule mtetemo wa mashine within a five sec vinakufa baada mashine kuwashwa havina uwezo wa kuhimili lile joto la mashine.(Mwalimu wangu wa physics, 2007)
 
Uwezekano wa kupata ukimwi kwa kutumia mashine za saluni ni mdogo sana yaani 3% kati 97%.

HIV hawezi ishi nje ya mwili wa binadamu (damu, manii, maziwa ya mama nk) kwa muda mrefu.

Baadhi ya mambo yanayoathiri muda wa HIV kuishi nje ya mwili ni joto lakini pia ni hewa (air).

Joto la machine za kunyolea ni kubwa kwa virus ukiongeza na hewa(air) ndani ya sekunde kadhaa kirusi kinakuwa kimekufa.

Ndio ni vizuri kunyoa kwenye salon zenye sterilizer machine, machine hizi hutoa joto na zina miale fulani ambayo inaua vijidudu (microorganism)

Ref.
1. https://www.medicalnewstoday.com/articles/324052.php
2. https://en.m.wikipedia.org/wiki/Ultraviolet_germicidal_irradiation

3. https://www.quora.com/What-is-the-risk-of-HIV-transmission-through-a-razor-cut-at-a-barber-shop
 
Ni ngumu kupata,kwanza kutokana na ule mtetemo wa mashine within a five sec vinakufa baada mashine kuwashwa havina uwezo wa kuhimili lile joto la mashine.(Mwalimu wangu wa physics, 2007)
Naona umetoa na saitesheni kabisa
 
Kuna watakaosema hawakuupata kupitia ngono Bali saloon,ili kupoza machungu yao....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…