Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana nao hao, na Imani zao. UKIMWI UPO na UNAUA.Kuna watu wanasemaga hakunaga ukumwi km ugonjwa unaoletwa na virusi
Haiwezi kwa sababuJamani wakuu, ningependa kujua ukweli wa hili swala...
Kiukweli, unapoenda kunyoa saluni.. Unakuta mashine za kunyolea zimeshawanyoa watu wengi, tuchukulie mfano imeshanyoa mtu mwenye virusi vya ukimwi, alafu mashine hiyohiyo ikatumika katika kukunyoa nywele na kukuchonga. Baada ya kunyolewa unapopakwa spirit unahisi maumivu katika maeneo hasa uliyochongwa, hii inaonyesha kuwa kuna vidonda vidogo vidogo katika maeneo hayo yanayouma baada ya kuweka spirit...
Je unaweza kupata virusi vya ukimwi kama mashine iliyotumika iliwahi kumnyoa mtu mwenye virusi vya ukimwi?
Tufanyaje ili kuepukana na maambukizi (kama yapo) katika masalooni?
NB! Maana mimi huwa nakataa kuchongwa au kunyolewa nywele zote, huwa napunguza tu nywele kwa vitana (hasa cha namba 1) vya mashine.
{jamani sijawa nyanyapaa waathirika}
Spirit haizui maambukizi ya HIVSaloon kunaile spirit inasaidia kufuta mashine kabla yakunyoa
Ingekuwa hivyo basi watu wote wanao nyoa salon wangekuwa na HIVHii mada ya Mashine za saloon inazidi kunilegeza joint nikisubiria miezi mitatu nikapime ambapo salimika yangu ni Mungu aingilie kati.
Thank you.Haiwezi kwa sababu
(i) wembe wa mashine haukati kama kisu/panga ni kwa mfumo wa vibration ambapo virus hawawezi kuishi pale
(ii) Mashine huchemka haraka sna na kuzid jotoridi 36.94 km joto la binadamu hivyo kufanya wasiishi kwny joto kubwa
(iii) Kusafisha mashine kwa mafuta (eg spirti, etc) husababisha kuondoa kabsa vijimelea.