Je, Master J huwa anampiga Shaa?

Alikuwa ananikagua kila siku hadi kuninusa papuchi kuangalia kama ninauza mechi....hahaha halafu ni kaboy tu.
Wewe tony huko uliko utafika mbinguni umechoka sana
Are you working like leaving the house each morning? Mwanaume kunusa uchi wa mwanamke its very low aisee😅! Yani humuamini mtu mpaka umnuse uchi thats fuqin awkward😎
 
Wapigwe tu kama wamezingua na wana afya nzuri.

Huu uzungu wenu wa kutokuwapiga ndiyo unaowafanya mdhalilike na kuonekana mabwege.
 
Wapigwe tu kama wamezingua na wana afya nzuri.

Huu uzungu wenu wa kutokuwapiga ndiyo unaowafanya mdhalilike na kuonekana mabwege.
Upige uue uishie majengo ya serikali ehh
Kisa mwanamke

Ova
 
Kabla sijaoa nilikuwa nashangaa sana wanaume wanao piga wake zao lakini nilipata majibu siku nilipo oa, wanawake wana maneno machafu sana iliyojaa kejeli, dharau, chuki na visasi.
 
Kabla sijaoa nilikuwa nashangaa sana wanaume wanao piga wake zao lakini nilipata majibu siku nilipo oa, wanawake wana maneno machafu sana iliyojaa kejeli, dharau, chuki na visasi.
Si wanatafuta sababu
Mkishachokana vitimbwi
Vinaanza

Ova
 
Mjinga tu huyo aendelee kufatilia simu ya mumewe awe analia kila siku, anaishi na mume asiye mjua kabisa, nimejuana naye tangu bado wadogo tunaanza first year, field tumeenda wote hata harakati za kitaa huwa tunashirikiana na hatujawahi ongelea mapenzi, Sasa nisiongee naye kisa yeye aisee, atulie alee watoto bana, mumewe hunishirikisha mambo mengi na tena huwa Nampa msaada akikwama, kwahyo asiongee na mimi, tusicho jua watu unaweza olewa wewe sio kwamba ulipendewa sana basi tu pressure za kijamii, mie hata mume wangu siwezi mzuia kuongea na marafiki zake mara simu mara vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…