Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Mke wake yuko sahihi na hawezi kuwa na amani ikiwa mumewe anajihusisha na wewe kwa karibu. Anawasi wasi na nyie kukulana tu which might be true huwenda mshatafunana college huko.Dah mkeo naye hajakua bana na utoto unamsumbua kwanini ahangaike na simu ya mumewe Sasa, maana na hyo Hali hukera kwelikweli kufatiliana ka watoto wadogo na kupangiana maisha honestly Mimi mtu wa hivo hata sijibishani naye nahama nyumba, sema wewe una mdunda isije leta shida, my Friend, classmate wangu wa bachelor huwa tunapiga sana story na kucheka na hata kushauriana, Sasa mke hataki yeye aongee na mimi au marafiki wengine wa kike Sasa najiuliza ina maana ukioa huruhusiwi kuongea hata na marafiki wengine, Sasa rafiki yangu hupiga Hadi anazimia kisa wivu, to me too much jealous naona ni ukichaa huo
Urafiki wa karibu wa baina ya mwanaume na mwanamke ambao hauusishi kulana ni 1 out of 100. Jamaa aache upumbavu mpunguze mazoea