Je, Master J huwa anampiga Shaa?

Je, Master J huwa anampiga Shaa?

'I took it like a champ'

Ni kosa la nani kuiaminisha jamii kwamba kupigwa ni kipimo cha upendo? Kwamba wivu ni namna ya kuexpress unavyompenda mtu? Kwamba ukipigwa ukavumilia "You are a champ"?

Wanawake wamekua programmed kua victims since birth no wonder mwanamke atapigwa na partner wake atalia atanyamaza na atajiona yeye ndiye kisababishi cha kupigwa.

Kama uhusiano wako upo hivi tafadhali jua upo kwenye uhusiano na manipulator. Atapindua maneno kukufanya uone wewe ndiye mwenye makosa, atakufanya uhisi bila yeye hauwezi.

Na jamii inachukulia kupigana ni sehemu ya maisha ya ndoa, hili swala linaonekana la kawaida kiasi kwamba Shaa yuko proud to take a beating.

'I took it like a champ'

Beaten by somebody you believe you love each other. Ni upuuzi.
Tena upumbavu uliopitiliza
 
Kweli mkuu, kunasiku wife yaani anakataa kumnyonyesha dogo, namuuliza kwanini hataki akanijibu mnyonyeshe na wewe kama unaona raha, alikula banzi ambalo hatakuja sahau
Hawa watu basi tu kuishi nao inataka moyo wa chuma...ndo maana wanaume wenye mioyo mwepesi ndoa zinawashinda mapema sana
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] duh! Kuna siku tulizinguana na wife,nimeenda kupiga story na masela, narudi home,kaficha dhana zote zakivita,chumbani hua kuna panga,sime,rungu,shoka na mshale kwa ajiri ya vibaka pindi wakileta usumbufu,sasa nimerudi home sizioni na wife yuko zake kimya sebuleni ana cheki tv,nikasema kumbe anaogopa selikali ya Taliban huyu,kwamba hizi dhana zinaweza kua fimbo kwake!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatari sana hii mambo ya zana za kivita
 
Ukinipiga lazima nikupopoe mawe tu...kama hamna mawe basi kilichopo mbele yangu halali yako
Mkuu uwezo wa kupopoa mawe au kilicho mbele yako si kupigwaaa huko ni kupapaswa
Unapigwa una sawajika vema mpaka nywele kichwani zinatoka
Sasa uwezo huo wa kupopoa mawe upo
Zaidi ni hospital na bed rest juu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kuna muda mwanamke ndani anakuchokonoa Hadi unakosa plan b ya kumuepuka,unajikuta kibao kimeshakutoka

Mwanzo nilikuwa nalaumu sn mwanaume anayepiga mkewe ndani,Ila kuna siku nilijibiwa jibu la kishenzi sikuwa na namna ikanitoka kerbu
Yaani jana kidogo nikosee.Hawa watu kwakweli kuna muda wana maudhi ya ulimwengu mzima
 
Back
Top Bottom