Juzi Tu hapo jmosi nimetoka mjini kuna kitu nilienda kumnunulia bila kumuaga naenda wapi,nikachelewa kurudi kidogo.
Akaniandikia meseji ya ajabu Hadi sn "yaani wewe mwanaume Hadi mshahara uishe ndy utatulia nyumbani,sasa hivi ushaenda Kwa michepuko yako". Isivyo bahati meseji inaingia nami ndy nafika nyumbani,nikaweka mzigo wake mezani akachezea vibao kadhaa kisha akaniomba msamaha kwamba hakujua km nimeenda huko
Kwa wale wenye kukaa na wanawake wanaelewa kbs jinsi wanawake wanavyozingua,Mimi simlaumu kbs master J km anampiga mkewe,maana kauli umetoka upande mmoja wa mwanamke,ingawa naye hayupo direct