Je, maswali haya yana majibu?

Je, maswali haya yana majibu?

donga

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2017
Posts
2,555
Reaction score
5,202
Habarini ndugu wananchi wa jamii forum
Mwenye maswali ya haya majibu km anaweza tusaidia

Nimekuwa nikijiuliza sana

●Je? ni muda gani muda ulianzishwa
●Nini kilianza muda au dunia?
●Dunia ina deni la nani ikiwa wanadamu walivumbua pesa?
●Tunajifunze vipi kwa kitu ambacho hakipo(non existence)?
 
Maswali mengine, utayauliza ukishiba, ukiwa na njaa maswali kama haya huulizi kamwe. Haya watakuja kubishana na kuvutana mashati wenye shibe zao; mie ngoja kwanza nitafakari namna ya kuinua uchumi wangu.
Ila naamini Mungu muumba yupo.
 
Dunia ilikuwepo ikizunguka usiku na mchana,binadamu werevu ndio walianza kugawa, siku, masaa, muda, dakika, sisi binadamu tuliwekwa tu kwenye gurudumu hili, tukiona mara giza totoro mara mwangaza mzuri.
 
Si
Dunia ilikuwepo ikizunguka usiku na mchana,binadamu werevu ndio walianza kugawa, siku, masaa, muda, dakika, sisi binadamu tuliwekwa tu kwenye gurudumu hili, tukiona mara giza totoro mara mwangaza mzu
Siku ya saba mliijuaje aliyopumzika mungu? Bila ya muda?
 
Habarini ndugu wananchi wa jamii forum
Mwenye maswali ya haya majibu km anaweza tusaidia

Nimekuwa nikijiuliza sana

●Je? ni muda gani muda ulianzishwa
●Nini kilianza muda au dunia?
●Dunia ina deni la nani ikiwa wanadamu walivumbua pesa?
●Tunajifunze vipi kwa kitu ambacho hakipo(non existence)?
Dunia imejawa uwongo mtupu. Shika hili
 
Hayo maswali ni kama yale kama mungu yupo na ndo mkuu wa kila kitu kwanini anamuacha shetani afanye yake? 😂 😂 😂 😂...
Hayana majibu itategemea upo upande gani..
Kiimani au kiscience.. Huwezi pata majibu ukiwa upo pande zote mbili😂😂😂
 
Kuna mengine hayajibiki pande zote mfano
Unajifunza vipi kwa kitu kisichokuwepo 😁😁

Hata nn kinaendelea baada ya kifo ....hakuna upande wenye jibu kamili
 
Hii nayo uongo Big NO.. kadri muda uendavyo ndio life span ya mwanadamu inapungua sasa ubora upi tulionao
Life span inashuka na kupungua lakini ubora na standard na uzuri wa kimuonekano unaboreka siku hadi siku
 
Kuna mengine hayajibiki pande zote mfano
Unajifunza vipi kwa kitu kisichokuwepo 😁😁

Hata nn kinaendelea baada ya kifo ....hakuna upande wenye jibu kamili
Hapo kujifunza kwa kitu kisichokuepo ndo sawa na 0x3=0?????? Yan nisawa na o kitu hakipo so empty 😂😂😂😂
 
AAECAA8B-1B5E-43BD-9FF5-DFAA71CD5AA8.jpeg
 
Hayo maswali ni kama yale kama mungu yupo na ndo mkuu wa kila kitu kwanini anamuacha shetani afanye yake? 😂 😂 😂 😂...
Hayana majibu itategemea upo upande gani..
Kiimani au kiscience.. Huwezi pata majibu ukiwa upo pande zote mbili😂😂😂
Majibu yapo. Tatizo nyie vilaza hamtaki kufikirisha akili. Ngoja nitakuja kileta jibu
 
Back
Top Bottom