Mm mwenyewe yamenishinda nimeomba msaadaMaswali mengine, utayauliza ukishiba, ukiwa na njaa maswali kama haya huulizi kamwe. Haya watakuja kubishana na kuvutana mashati wenye shibe zao; mie ngoja keanza nitafakari namna ya kuinua uchumi wangu.
Ila naamini Mungu muumba yupo.
Siku ya saba mliijuaje aliyopumzika mungu? Bila ya muda?Dunia ilikuwepo ikizunguka usiku na mchana,binadamu werevu ndio walianza kugawa, siku, masaa, muda, dakika, sisi binadamu tuliwekwa tu kwenye gurudumu hili, tukiona mara giza totoro mara mwangaza mzu
Kisayansi maswala ya mungu ni illusions!Si
Siku ya saba mliijuaje aliyopumzika mungu? Bila ya muda?
Dunia imejawa uwongo mtupu. Shika hiliHabarini ndugu wananchi wa jamii forum
Mwenye maswali ya haya majibu km anaweza tusaidia
Nimekuwa nikijiuliza sana
●Je? ni muda gani muda ulianzishwa
●Nini kilianza muda au dunia?
●Dunia ina deni la nani ikiwa wanadamu walivumbua pesa?
●Tunajifunze vipi kwa kitu ambacho hakipo(non existence)?
Lakini wanasayansi wenyewe wanakwambia inasadikika muda ulianza sambamba na duniaKisayansi maswala ya mungu ni illusions!
Uko sawa mkuu, dunia ni likitu infinite!, lina ma-karne ma-karne na makarne, huku viumbe wake wakizidi kuwa bora kuliko wale wa zamani hizo,!Dunia imejawa uwongo mtupu. Shika hili
Hii nayo uongo Big NO.. kadri muda uendavyo ndio life span ya mwanadamu inapungua sasa ubora upi tulionaoUko sawa mkuu, dunia ni likitu infinite!, lina ma-karne ma-karne na makarne, huku viumbe wake wakizidi kuwa bora kuliko wale wa zamani hizo,!
Kuna mengine hayajibiki pande zote mfanoHayo maswali ni kama yale kama mungu yupo na ndo mkuu wa kila kitu kwanini anamuacha shetani afanye yake? 😂 😂 😂 😂...
Hayana majibu itategemea upo upande gani..
Kiimani au kiscience.. Huwezi pata majibu ukiwa upo pande zote mbili😂😂😂
Life span inashuka na kupungua lakini ubora na standard na uzuri wa kimuonekano unaboreka siku hadi sikuHii nayo uongo Big NO.. kadri muda uendavyo ndio life span ya mwanadamu inapungua sasa ubora upi tulionao
Hapo kujifunza kwa kitu kisichokuepo ndo sawa na 0x3=0?????? Yan nisawa na o kitu hakipo so empty 😂😂😂😂Kuna mengine hayajibiki pande zote mfano
Unajifunza vipi kwa kitu kisichokuwepo 😁😁
Hata nn kinaendelea baada ya kifo ....hakuna upande wenye jibu kamili
Sawa but hii ni jibu according to scienceLife span inashuka na kupungua lakini ubora na standard na uzuri wa kimuonekano unaboreka siku hadi siku
Yeah innovation and technology is bae ✅ 😂😂Life span inashuka na kupungua lakini ubora na standard na uzuri wa kimuonekano unaboreka siku hadi siku
Majibu yapo. Tatizo nyie vilaza hamtaki kufikirisha akili. Ngoja nitakuja kileta jibuHayo maswali ni kama yale kama mungu yupo na ndo mkuu wa kila kitu kwanini anamuacha shetani afanye yake? 😂 😂 😂 😂...
Hayana majibu itategemea upo upande gani..
Kiimani au kiscience.. Huwezi pata majibu ukiwa upo pande zote mbili😂😂😂
Kashindwa kumaliza maji yale kwenye glass
Lakn si ndo reality 😀auSawa but hii ni jibu according to science