Je, Mathayo aliunda unabii kwa makusudi au aliichukua aya ya Isaya nje ya muktadha na kuitumia?

Covax

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2021
Posts
13,682
Reaction score
41,162
“Simulizi za Mathayo”
Mathayo anasema kuhusu Yohana:

“Huyu ndiye aliyenenwa na nabii Isaya aliposema: ‘Sauti ya mtu aliye jangwani: Itengenezeni njia ya Bwana, nyoosheni mapito yake.’”
(Mathayo 3:3)

Lakini je, Isaya alikuwa anamtabiri Yohana Mbatizaji aliposema?

“Sauti ya mtu aliye: ‘Itengenezeni jangwani njia ya Bwana, nyoosheni katika nyika njia kuu kwa ajili ya Mungu wetu.’”
(Isaya 40:3)*

Kisha Isaya akaeleza zaidi:
“Sauti yasema, ‘Lia!’ Nami nikasema, ‘Nitalia nini?’ Kila mwanadamu ni majani tu, na uzuri wake wote ni kama ua la shambani.”
(Isaya 40:3, 7)

Ni wazi kabisa kuwa Isaya alikuwa anazungumzia yeye mwenyewe (yaani sauti ya aliye).
Kwa hiyo, je, Mathayo aliunda unabii kwa makusudi?

Maandishi haya yanahoji kama Mathayo aliichukua aya ya Isaya nje ya muktadha na kuitumia kumhusu

Yohana Mbatizaji, ilhali Isaya alikuwa anaelezea ujumbe wake mwenyewe.
Mwenye ufafanuzi zaidi katika hili tafadhali njoo unisaidie.
 
Mathayo mathayo alifanya sana kazi ya kunakili wenzake mara kibao hili Lina shusha hadhi ya bibulia kabisa kua ufinuo wa roho mtakatifu.
 
Habari bro
As I promised.
Nitakuwa hapa kujibu hoja zako always.

Hoja yako ni hii
Maandishi haya yanahoji kama Mathayo aliichukua aya ya Isaya nje ya muktadha na kuitumia kumhusu

Yohana Mbatizaji, ilhali Isaya alikuwa anaelezea ujumbe wake mwenyewe.
Mwenye ufafanuzi zaidi katika hili tafadhali njoo unisaidie.

Summary ya swali lako ni hii
1. Je? Isaya alikuwa anasema mwenyewe au alikuwa anamtabiria Yohana?.
2. Mathayo amesemaje kuhusu Yohana.
3. Au je? Isaya alikuwa anamsema yohana mbatizaji?.

Kwanza soma tena hili na Tuanzie hapa.

Isaya 40: 2-7
"2.Semeni na moyo wa Yerusalemu, kauambieni kwa sauti kuu ya kwamba vita vyake vimekwisha, uovu wake umeachiliwa; kwa kuwa amepokea kwa mkono wa BWANA adhabu maradufu kwa dhambi zake.

"Sikiliza, ni sauti ya mtu aliaye, Itengenezeni nyikani njia ya Bwana; Nyosheni jangwani njia kuu kwa Mungu wetu.
4 Kila bonde litainuliwa, Na kila mlima na kilima kitashushwa; Palipopotoka patakuwa pamenyoka, Na palipoparuza patasawazishwa;

5 Na utukufu wa Bwana utafunuliwa, Na wote wenye mwili watauona pamoja; Kwa kuwa kinywa cha Bwana kimenena haya.

Inaendelea pia

6 Sikiliza, ni sauti ya mtu asemaye, Lia! Nikasema, Nilie nini? Wote wenye mwili ni majani, Na wema wake wote ni kama ua la kondeni;
7 Majani yakauka, ua lanyauka; Kwa sababu pumzi ya Bwana yapita juu yake. Yakini watu hawa ni majani.

8 Majani yakauka, ua lanyauka; Bali neno la Mungu wetu litasimama milele. "
 
Nashukuru mkuu kwa kujitahidi kufafanua 'some thing is better than nothing" ila bado hujatoa jawabu sahihi, swali lipo hivi Mathayo alibuni huo utabili kwa kunakili Issaya au Issaya alikua anasema Yohana , lakini issaya mwishowe kajitokeza mwenyewe kua kwamba utabili ni wakwake, uwe stight kwenye jibu mkuu.
 
Ni wazi kabisa kuwa Isaya alikuwa anazungumzia yeye mwenyewe (yaani sauti ya aliye).
Kwa hiyo, je, Mathayo aliunda unabii kwa makusudi?

Maandishi haya yanahoji kama Mathayo aliichukua aya ya Isaya nje ya muktadha na kuitumia kumhusu

Yohana Mbatizaji, ilhali Isaya alikuwa anaelezea ujumbe wake mwenyewe.
Mwenye ufafanuzi zaidi katika hili tafadhali njoo unisaidie.

1. Ni Isaya alikuwa anaongea mwenyewe.
"Sauti ya mtu aliye nyikani ina maana ni kama mtu yuko mwenyewe katikat ya jangwa na hana mtu anayemsikiliza. ata sauti yake haiwez kusikika kwa watu. Ila Nyoosheni njia YENU KUU NYUMBANI KWA MUNGU.

Ina Ujumbe kuwa watu warudie kwa Mungu.

2. Mathayo kwa Yohana.
Mathayo ameongea hayo kwasababu kipindi cha Yohana ndio kipind ambacho Yesu alikuwa ananza kazi yake.
Na ndio huyo huyo Yohana aliyembatiza Yesu kipind hiko.
Na ndio Enzi za mahuniri ya Yesu zikaanza Rasmi.

3. Zaman kabla ya wafalme kusafiri.
Lazima wawepo watu wa kusafisha njia yake.
Kipind cha Yesu . Kuhan aliyekuwepo na kusafisha njia ya Yesu ni Yohana mbatizaji.
Ambaye ni Elisha wa agano la kale.
Alikuja mara ya pili kukamilisha zoezi la kumuandalia Yesu njia.
 
Back
Top Bottom