Je, matibabu kwa mtoto wa jicho yapo?

Je, matibabu kwa mtoto wa jicho yapo?

Luhan12

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2019
Posts
550
Reaction score
723
Habarini waungwana

Ni kwa takriban 5yrs now tangia nifahamiane na mshkaj m1 ambae yuko na tatizo la mtoto wa jicho, tatizo linazidi kuwa kubwa yaani mpaka december inawez kuwa hatari zaidi.

Then, naomba kujuzwa kama tatizo hili linatibika, na niwapi ambapo yapo hayo matibabu na pia ni kwa gharama ipi?

NOTE; SI HITAJI DAWA ZA SANGOMA
 
Linatibika kwa daktari wa macho tiba inaitwa cataract surgery. Anawekewa lens mpya, surgery yenyewe haichukui hata nusu saa kama hakuna matatizo.
 
Dawa ya Mtoto wa jicho kwa tiba za asili ipo ukitaka nitafute kwa wakati wako nipate kumtibia mgonjwa wako ili aweze kupona pasipo na kwenda kufanyiwa operesheni.
 
Back
Top Bottom