GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nakubaliana nawe, nilishuhudia siku moja pale Ruvu karibu na Pub ya JKT, walisimanisha LC moja nyeupe, yule dereva akasimama kwa mbali kidogo toka walipokuwepo hao askari, alipowafuata wakamwonyesha kitu kidogo cheusi akawaruhusuSiyo kweli. wanabahatisha tu. wengine wanasimashwa na wanasimama na wengine hawasimani