GE2025 Je, matukio na makongamano makubwa ya kampeni yanaweza kukushawishia kukipigia Chama Kura yako?

GE2025 Je, matukio na makongamano makubwa ya kampeni yanaweza kukushawishia kukipigia Chama Kura yako?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Wakuu!

Baada ya Tume Huru ya Uchaguzi kuwaidhinisha wagombea 17 wa vyama vya kisiasa na kuanza rasmi kwa kampeni, ni wazi huu ni mwaka wa uchaguzi ,Tumeona wagombea wakijinasibu kwa mbwembwe na kuonyesha uwezo wao. Sasa ni wakati wa kujiuliza:

Je, tutachagua chama kwa sera na mipango ya maendeleo, au kwa sababu ya makongamano makubwa na hafla zinazovutia umma? Wapo wanaoamini sera ndizo msingi wa mabadiliko ya kweli, lakini wengine huamini bila matukio makuu ya kampeni, chama hakiwezi kushinda.
 
Naichagua CCM 💚 💚 💚
Natiki kwa Samia Suluhu Hassan ✅
 
Back
Top Bottom