Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Sahihi kabisa hata mie natumia around unit 1Ilo fridge la kutumia unit 4 Ni aina gani ?mimi natumia KIC nilinunua jipya kabisa linatumia unit 1 kwa siku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahihi kabisa hata mie natumia around unit 1Ilo fridge la kutumia unit 4 Ni aina gani ?mimi natumia KIC nilinunua jipya kabisa linatumia unit 1 kwa siku
Safi yaani umeme ukioa kwenye taa hivyo vitu vingine unatumia vizuri bila shidaNina fridge kubwa siiwashi masaa yote, Nina rice cooker, Nina jagi la umeme nachemshia chai tu, pasi, nina TV, ving'amuzi viwili, radio,blender watt 400 na taa sita, kwa mwezi sivuki unit 60, Tv yangu inch 32 watt 60. Rice cooker watt 700, jagi watt 2000 ila haizidi dakika tano nikichemsha maji, Matumizi yangu hayazidi Unit 60 kwa mwezi
Watu wengine bana eti lake linatumia unit 4 hehe usikute hana fridge anaongea tuSahihi kabisa hata mie natumia around unit 1
Zipo ila wana discourage wanataka kuwapiga watu, mie kwa miaka 4 nimetumia huduma hii ila juzi kati mita iliharibika wakaniwekea mpya wakajifanya haipo, unachotakiwa ni kufuatilia kwa kupitia website yao watakujibu vizuri na hata humu Jamii Forum kuna uzi wa TANESCO kama matumizi yako kwa miezi 6 hayavuki unit 75 wanaweza kukuunganishaUkihitaji Hiyo Utaambiwa Haipo
Nilifatilia Mizengwe Mingi Mpaka
Watu hawajui Friji na pasi huwa zinajiwasha na kujizima hata kama pasi imeandikwa 1000W haina maana kwamba inawaka moja kwa moja au Friji kama limeandikwa watts kadhaa haina maana kwamba linawaka non stop. Kwanza friji za siku hizi zina raba kwenye milango ime-tight vizuri hivyo ubaridi unakuwepo wa kutoshaWatu wengine bana eti lake linatumia unit 4 hehe usikute hana fridge anaongea tu
Heee!!we naye ni mtu wa ajabu!!unapolinganisha vitu, kuna mambo lazima uyazingatie!!anaposema hivyo ina maana chukua friji used la 300w, na then chukua friji jipya la 300w, ndipo utapata majibu!!sasa wewe unaleta mambo gani?!!Not real..!! embu waza hivi, friji used la 300W na Mpya la 1000W, unadhani lipi litakula umeme mwingi within the same time?
Kwani Baba au Mama mwenye Nyumba hapo ulipopanga alikuambiaje kuhusu Mpangaji wake Wewe Kutumia sana Umeme na katika Kuchangia pale ukipigiwa Hodi Chumbani Kwako?Za jioni ndugu, nahamia sehemu, na sababu ni nyumba mpya Umeme Bado haujaunganishwa na zero taarifu, ila lengo langu nikitimiza masharti basi niunganishiwe ili niweze kuchezea kwenye units 75 kushuka maana nimesikia ndio kiwango cha juu kuunganishwa na zero taarifu.
Nilikotoka nilikua nimepanga, kwahio hata umeme ni wa share sikuweza ku calculate,
Sasa nitaanza kujitegemea, jee kwa watu wawili
Nikiwasha Fridge, Kupasi nguo asubuhi, Kutumia heater kupasha maji, Natumia jiko la umeme japo mara chache, Taa, Tv, radio, blender, breakfast Maker...
Je naweza fikisha pengine hata kuvuka matumizi ya units 75 kwa mwezi?
Kwa ufupi nina vifaa vingi vya umeme ila vya mara kwa mara ni hivyo, swali langu jee naweza kutumia units 75 kwa mwezi?
NOTE: vifaa vyangu vyote ni energy efficient.
Swali jingine la ziada, vigezo/taratibu za kuunganishiwa zero taarifu vipoje?
Na je katika zero taarifu 1,000tsh = units ngapi?
Mkuu unatumia friji gani au used?Jibu ni ndiyo utavuka!
Fridge kwa siku linakula wastani wa unit 4~6 maanake kwa siku 10 litabugia unit 40KWH, kwa mwezi litabwia unit 120KWH,
Hapo hujaweka taa, TV, brenda, pasi na radio.
Ukiweka na jiko la umeme ndo kabisaa utalia kwa siku linakula unit 1.5~2kwh likiwa jipya, kwa mwez unit 60, ukijumlisha unakaribia unit 200 kwa mwez
Hata ikitokea Tanesco wakate umeme lazima tu huku na huku utavuka unit 100kwh kwa mwezi hata. Ujibane vip
CASE CLOSED MAJIBU NDO HAYO JIPANGE
Wanaotumia unit chini ya 75 kwa mwezi ni wale ambao maisha yao ni duni unakuta nyumba hiyo pasi hawana frige nayo hawana
Sijajua mna kwama wapi, kwangu mpaka leo cjahamisha hiyo tarrif 4, nnalipa umeme wa 20,000 kwa mwezi ambayo ni unit 56 kwa mwezi, taa zangu zote ni LED, vyumban natumia watt 3, nje nmefunga watt5 mbele kuna watt7 uwanjani kuna watt 9 sebuleni natumia led za watt 12 ziko mbili, friji ninawasha usiku saa 3 hadi asubuhi, mchana inazimwa na inakaa na ubaridi mpaka jioni bila shida, tv natumia led ya inchi 32 ina watt 45 sina limit watumie vipi, jioni lazima wapike kwa rice cooker, nyama na maharagwe nk natumia electric pressure cooker. Fan zinatumika muda mwingi sasa nyie mnakwama wapi? Mtoa mada kwenye jiko la umeme siku shauri bora ununue induction cooker au hata infrared cooker na oven tumia microwave oven kama kweli una mpango wa kutumia umeme kupikia.
Hii kihesabu inakataa... Ila kiuwongouwongo inakubali...
kWh 1, ndiyo unit 1.... kWh = kW x hr
Sasa hiyo 1,000W, ni sawa na 1kW
Kupata kWh = 1kW x 12hrs = 12kWh
Hivyo kimahesabu, hilo fridge lako la 1000W, kwa masaa 12, litakula unit 12....
Ndugu humu wakati mungine utadanganywa. Fuata maelekezo hapa chini:-
Kila kifaa cha umeme kina name plate ambako kuna maelezo ya ulaji wa umeme: mfano bulb ya 20W ikiwaka kwa muda wa masaa 50 ndipo inakula unit moja ya umeme yaani 1KWH
Maana yake unit moja ya umeme maana yake KWH 1.
Kwa hiyo chukua vifaa vyako vyote vya umeme, angalia kwenye nameplate utakuta kimeandikwa Wats zake ( Kilowats = Wats 1000), ukishajua hizo Wats za kila kifaa chako itakuwa rahisi wewe mwnyewe kujipangia utumie kwa muda gani ili ubaki kwenye mpango wako wa units 75 ambazo ni KWH 75.
Vivyo hivyo kifaa chako kwa mfano pasi ya 1500W ambazo hapa ni KW 1.5 ikitumika kwa muda wa saa moja itakula units 1500 Wat x 1 H == 1500WH au 1.5KWH
Nadhani itakusaidia kukokotoa mwenyewe mahitaji yako ya umeme kwa kila kifaa chako kwa muda maalumu.
Upo,Ila mpaka watu wanywe chai kwanza,halali,upo kwa mungu tu.Hiyo Huduma Ya Tariff 0 Sijui Hata Utaipata Wapi
Kwakifupi Ni kujipatisha tabuUnit 75 zibaki kwa bachelors, spinsters na wakazi wa vijijini.
Kinyume na hapo, ni kujibana kwa hali ya jiwe kabisaa
Tafuta pesa weweZero tarif hua napata unit 65.6 kwa 8,000 hua nabalance sana na natoboa mwezi mzima.
Ila unatakiwa uwe na nidham sana ya matumizi ya umeme ukiyumba kidogo unapituliza.
Natumia pasi,friji ndogo hua awasha pale inapohitajika sio nawasha kutwa nzima hata kama hakuna kitu. Kama sipo nazima nikijua kwa kua haifunguliwi haiwezi poteza baridi
Natumia brenda
Tv$ radio erc
Rice cooker.
Sina jiko la umeme wala heater..