leo JF nimepata mwanga hasa kuhusu hizi SIX na 4cyilinder ilikuwepo mada inayozizungumzia miaka ya nyuma siioni tena lkn wa 6cyinder walishinda wakidai piston 6 ni nyingi lkn boya ni dogo wakati 4 bore ni kubwa na linachoma mafuta mengi na nguvu kubwa wakati 6 wao ni dogo na crankshaft inazunguka haraka na kwa mwendo mkali
sasa nje ya mada hii ninaposikia Harrier ya 6 (1mz) inakula kuliko ya 4 (5s) uhalisia unakuwa wapi kwani nilipoulizia walisema wote wanarange wote kwa 6km-10km/ litre
je niiogope hiyo yenye 3000cc au nikanunue tu
p/se tutani hapo
hapa kwenye utata wa 6 cylinder 1G Engine na 4 clynder 3S-GE by yamaha na 3S-GE kuwa na power na ulaji uko juu
conclusion yake haiwezi kutumika kutoa judgment kwenye engine nyingine
WHY?
hii 3S-GE generation ya mwisho iliyotengenezwa na YAMAHA almaarufu kama
3S-GE black Top hii ilitengenezwa maalamu kwa ajili ya perfomance
ndio maana piston rum zake zilikuwa kubwa ili kuruhusu more power iwe produced kwenye kila pigo la piston na kupelekea kuwa inazalisha 210 BHP
and since more power mor fuel got burned matokeo yake yakawa inakuchoma zaidi ya 1G yenye 6 cylinder ila ikizalisha 165 BHP
na ndio maana ukichukua 3S-GE 4I za 1st generation hadi 3rd generation zenyewe zinakunywa mafuta kwa kiwango kidogo ukilinganisha na 1G yenye 6I sababu zenyewe rum zake zilikuwa ndogo kama za engine nyingi za 4cylinder zilivyo.
BACK TO 5s na 1MZ
5s imetengenezwa kwa matumizi ya kawaida while 1MZ imetengenezwa kwa ajili ya kukupa power kidogo
ndio maana 5s zote zina range kwenye
130 bhp to 140 bhp
while 1MZ zikirange kwenye
210 BHP to 230 BHP
so hapa kama unahitaji yenye power go to 1MZ and power haiji hivi hivi there must be a price to pay which is
FUEL though ni kiasi kidogo tu kinachozidi compared to 5s.
ila kama unahitaji a normal driving with no complications kwenye harrier go for 5s.