ni chaguo zuri... hata mark X pia ni chaguo zuri
zinatumia same engine sema mark X imepitwa sehemu moja na crown...
inakula vizuri sana ukiwa chini ya 3000rpm tena itakula kama toyota wish ila ukiwa una accelate mpaka zaidi 3000rpm hapo ni hatariToyota crown athlete fuel consumption experience
Mwenye nayo share hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaha shukrani mkuusina hata baskeli ila maelezo yako nimeyapenda yaani nimeona kama nimenunua gari jinsi nilivyosoma comment yako mzee
Mwana kama una hela ya kuunga unga usichukueToyota crown athlete fuel consumption experience
Mwenye nayo share hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
ungekuwa specific kidogo
hyo crown athlete inatumia engine gani kati ya hizi mbili...
Mkuu nimeskia watumiaji wengi wa Athlete wanasema Dsm sio nzuri ....haihitaji safari fupi fupi. Yani kwa safari fupifupi inakula sana Mafuta.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maneno tu mkuu kati ya hao uliowasikia wanaongea hayo kuna hata mmoja anamiliki hiyo crown au gari yoyote inayotumia GR series of engine?Mkuu nimeskia watumiaji wengi wa Athlete wanasema Dsm sio nzuri ....haihitaji safari fupi fupi.
Yani kwa safari fupifupi inakula sana Mafuta. Pia usipoweka mafuta zaidi ya robo tatu au full tank ulaji unakuwa mkubwa.... Je ni hearsay or?.
maneno tu mkuu kati ya hao uliowasikia wanaongea hayo kuna hata mmoja anamiliki hiyo crown au gari yoyote inayotumia GR series of engine?
imechangamka kidogo ila iko poa tuMkuu, Vp gharama za service Na vipuri?
imechangamka kidogo ila iko poa tu
bila shaka.....Kwahiyo mkuu, Kwa Crown unaweza tembea km8-10 Kwa litre 1 mjini?
Kwa navyoona gari za toyota nyingi ikiwa full tank ulaji wake unakuwaga mzuri sana tofauti na mafuta ya elfu 15 baada ya taa kuwaka. Tia full tank utaona jinsi mshale unavyochelewa kushuka chini ya herufi "F" tofauti na ikiwa kistari kimoja juu ya herufi "E" kurudi chini na kuwaka taa ni chap sanaMkuu nimeskia watumiaji wengi wa Athlete wanasema Dsm sio nzuri ....haihitaji safari fupi fupi. Yani kwa safari fupifupi inakula sana Mafuta...
huwa nacheka nikikuta post za madalali wa bongo wanauza tezza alafu wanaandika engine ndogo 4 cylinder yani haili mafuta wangejua ile 6 ndio ipo economy kuliko hyo 4
na ukiwa huna elimu nayo unaingia mkenge unaacha 1g unavagaa 3sge ukijua hii yenye 4 ina unafuu
Kwa hapo nunua yeyote tu kwa sababu ukubwa wa cylinders haujapishana sana. Ila mi ningeopt 6 Cylinders.leo JF nimepata mwanga hasa kuhusu hizi SIX na 4cyilinder ilikuwepo mada inayozizungumzia miaka ya nyuma siioni tena lkn wa 6cyinder walishinda wakidai piston 6 ni nyingi lkn boya ni dogo wakati 4 bore ni kubwa na linachoma mafuta mengi na nguvu kubwa wakati 6 wao ni dogo na crankshaft inazunguka haraka na kwa mwendo mkali...
Nakushukuru sana ila ungemalizia na horse power inayotokaKwa hapo nunua yeyote tu kwa sababu ukubwa wa cylinders haujapishana sana. Ila mi ningeopt 6 Cylinders.
Mchanganuo:
1mz ni 3000cc kwa wastani kila cylinder itakuwa inachoma 500cc (500×6=3000)
5s ni 2160cc kwa wastani kila cylinder itakuwa inachoma 540cc (540×4=2160)
hapa kwenye utata wa 6 cylinder 1G Engine na 4 clynder 3S-GE by yamaha na 3S-GE kuwa na power na ulaji uko juuleo JF nimepata mwanga hasa kuhusu hizi SIX na 4cyilinder ilikuwepo mada inayozizungumzia miaka ya nyuma siioni tena lkn wa 6cyinder walishinda wakidai piston 6 ni nyingi lkn boya ni dogo wakati 4 bore ni kubwa na linachoma mafuta mengi na nguvu kubwa wakati 6 wao ni dogo na crankshaft inazunguka haraka na kwa mwendo mkali
sasa nje ya mada hii ninaposikia Harrier ya 6 (1mz) inakula kuliko ya 4 (5s) uhalisia unakuwa wapi kwani nilipoulizia walisema wote wanarange wote kwa 6km-10km/ litre
je niiogope hiyo yenye 3000cc au nikanunue tu
p/se tutani hapo
Tupe mrejesho mkuu, kwenye fuel consumption Na Huduma zingine.Baada ya kupitia mijadala mingi kuhusiana na huu mkoko nimeamua kwa dhati kabisa kujitosa kuuagiza used kutoka japan huenda muda mwingine uoga wetu tu unatufanya kushindwa kuwa na vitu vizuri.