The Wankel engine is a type of internal combustion engine using an eccentric rotary design to convert pressure into rotating motion.
All parts rotate in one direction, as opposed to the common reciprocating piston engine, which has pistons instantly and rapidly changing direction 180 degrees.
In contrast to the reciprocating piston designs, the Wankel engine delivers advantages of simplicity, smoothness, compactness, high revolutions per minute , and a high power-to-weight ratio.
ulaji wake ni mkubwa sana kulinganisha na ukubwa wake ila ni sahihi kulinganisha na power inayotoa
inazalisha power sawasawa na engine ya toyota yenye CC 2500-3000 so ulaji wake lazima uwe wa juu
6-8 km per litre ndio ulaji wake hii ni kwasababu hizi engine zinarun kwenye RPM za juu sana
kwa mfano mzuri tu hyo engine ya rx8 ni 1.3 lakini out put yake ni 234 horse power ambayo ni kubwa kuliko ya mark x engine ambayo ni 2.5 yenyew inaproduce 210 bhp
ila pia kama unamiliki rx8 kuwa sana makini na engine ukizembea tu kidogo utajikuta unanunua engine nyingine
kuwa makini kucheki oil yako maana nature ya hizi rotor engine zinachoma oil... yani katika ile process nzima ya combustion huwa zenyewe zinanyunyiza oil kidogo into combustion chamber ili i act as a seal sasa hapo utajikuta unaongeza oil kila mara ukizembea tu unakaanga vyuma
pia inabidi kila asubuhi unapoiwasha jaribu ikiwa silence kuirev mpaka red line then unaacha ndio unaweka gia kuondoka hii husaidia kupandisha oil kwa haraka na kama pale mwanzo nilivyosema rotor engine huwa zinanyunyiza oil kwenye combustion chamber ili iwe kama seal
sasa ukiirev hadi redline inasaidia kunyunyiza oil kwa wingi na kusaidia kuweka seal na kuprevent leakage
zinahitaji trick nyingi hizi engine ili zidumu na wengi hawazijulii ndio maana kila mtu utakuta anasema usinunue rx8 engine yake ni jini [emoji23][emoji23]